Uchaguzi 2020 Nilikuwepo kwenye mkutano, sijapenda kuchangishwa fedha kinguvu

Acha uongo

Vitu vya hiyari havijawahi hata siku moja kulazimishwa!

Kuchangia ni hiyari ya mtu,hamna mtu anaweza kua coerced kuchangia vitu vya hiyari!

Na iwe coercion lazima kuwe na enforcing unit,ije kulazimoisha watu kwa nguvu,vyama vya hiyari havina hizo.

Serikali ndio ina upumbavu huu!

Punguza unafiki
 
Wana account CRDB, kuna jamaa yangu alianza kufatisha ghafla akasikia chagua namna 4, kumbukumbu namba weka CDM2020, ghafla weka kiasi, ghafla password...... Jamaa akashtuka nkaona anaitia simu mfukoni
Kwani namba ya kutuma michango ni ipi?
 
kuna jamaa yangu alianza kufatisha ghafla akasikia chagua namna 4, kumbukumbu namba weka CDM2020, ghafla weka kiasi, ghafla password...... Jamaa akashtuka nkaona anaitia simu mfukoni
Umechangishwa vipi kinguvu sasa !?

Mimi nilidhani walisema kuwa asitoke mtu yoyote katila viunga vya uwanja wa hiyo hadhara bila ya kuchangia pesa. Na endapo akitoka bila ya kuchangia security wata mshurutisha
 
Hakuna unafki bali pesa HATUNA
kuna jamaa yangu alianza kufatisha ghafla akasikia chagua namna 4, kumbukumbu namba weka CDM2020, ghafla weka kiasi, ghafla password...... Jamaa akashtuka nkaona anaitia simu mfukoni
Acha

Acha uongo

Vitu vya hiyari havijawahi hata siku moja kulazimishwa!

Kuchangia ni hiyari ya mtu,hamna mtu anaweza kua coerced kuchangia vitu vya hiyari!

Na iwe coercion lazima kuwe na enforcing unit,ije kulazimoisha watu kwa nguvu,vyama vya hiyari havina hizo.

Serikali ndio ina upumbavu huu!

Punguza unafiki
 
Hakuna unafki bali pesa HATUNA
kuna jamaa yangu alianza kufatisha ghafla akasikia chagua namna 4, kumbukumbu namba weka CDM2020, ghafla weka kiasi, ghafla password...... Jamaa akashtuka nkaona anaitia simu mfukoni
Punguza unafiki kidogo itapendeza sana...

Ni oni nimekupa tu..

Weka hoja serious mezani.....unaona wagombea zaidi ya 200 wa upinzani nchini wamekatwa makusudi,ila wa ccm hawajakatwa kwa lolote!

Unaona haki za wananchi kuchagua hawa watu zilivyopotea?Unasemaje kuhusu hili?

Sio issue serious ya kufatilia na kujua why?
 
Hizo hoja nimekubaliana nazo ni nimeshangilia sana kipindi lissu anazizungumza, ILA ninakumbusha tu kuwa PESA HATUNA. Tupo tayari kusikiliza hoja zote nzuri lakini sio KUCHANGA PESA

Sikuona mitutu ya bunduki kushurtisha myu kuchanga, hata mimi nilikuepo ila simu yangu sijaitoa wala sijachanga na sijaadhibiwa na mtu
Kinacho gomba hapa ni kutembeza bakuli - yaani ombaomba! Akakatabia kwa mtu huyu kamekuwa kama kansa - kila akipata nafasi anatoa mkono bbaba! bbaba! bbaba!
 
Hizo hoja nimekubaliana nazo ni nimeshangilia sana kipindi lissu anazizungumza, ILA ninakumbusha tu kuwa PESA HATUNA. Tupo tayari kusikiliza hoja zote nzuri lakini sio KUCHANGA PESA
Pesa hakuna,ni jukumu la wananchi kufanya kazi kwa juhudi wajijengee mali kadiri ya uwezo na akili zao mtu mmoja mmoja..

Kazi ya serikali ni kutoa ulinzi na ku-dispence justice na kukaa mbali na wananchi isiwabugudhi au kuwaingilia kwa aina yoyote!

Kazi ya kuingilia uhuru wa mtu mmoja mmoja na kuwanyang'anya mali zao kwa mfumo wa kodi au matamko au kuwavuruga kwa sera za intervention eti serikali imeamua ni za kuacha mara moja..

Toa uhuru binafsi 100%,toa haki 100%,simamia sheria 100%,toa ulinzi 100%....then toa matako mbele ya wananchi kalale kwako huko,no one needs a politician to decide anything about their lives !
 
Nakubaliana na wewe na ndio maana leo mm na wenzangu tuligoma kuchanga pesa
 
Kweli aisee,
Kuna jamaa yangu alianza kufatisha ghafla akasikia chagua namna 4, kumbukumbu namba weka CDM2020, ghafla weka kiasi, ghafla password...... Jamaa akashtuka nkaona anaitia simu mfukoni
Upinzani Tanzania ni kazi ngumu sana

Hakuna pesa,wananyimwa pesa na serikali pinzani inayowachukia,ni hela za michango walalahoi mimi na yule ndio walao inasaidia..

CCM ni criminal organization,inabeba hela for free from the government watakavyo maana mwenye serikali ni mwenyekiti wake

It is even not fair kabisa...

Kuhusu operational costs,dont even compare,ni sisimizi na ccm tembo,not fair fight kabisa!

Nchi ya hovyo sana hii,hakuna mifumo imara ya kitaasisi kuhakikisha hivi vyama vipo katika level footing

Hakuna...
 
Nakubaliana na wewe na ndio maana leo mm na wenzangu tuligoma kuchanga pesa
Wewe hukutoa,sisi tunaoweza kujitolea hua tunatoa kadiri tunavyoweza tena kwa moyo mweupe kabisa..

Upinzani upo moyoni,nyie hamkutaka kutoa which is very okay na ni haki yenu...sisi wengine tunato,we know how tough and how it is a struggle to provide reforms in this shithole country!
 
Upinzani wananyimwaje pesa na serikali?? Ruzuku hawapati??
Upinzani Tanzania ni kazi ngumu sana

Hakuna pesa,wananyimwa pesa na serikali pinzani inayowachukia,ni hela za michango walalahoi mimi na yule ndio walao inasaidia..

CCM ni criminal organization,inabeba hela for free from the government watakavyo maana mwenye serikali ni mwenyekiti wake

It is even not fair kabisa...

Kuhusu operational costs,dont even compare,ni sisimizi na ccm tembo,not fair fight kabisa!

Nchi ya hovyo sana hii,hakuna mifumo imara ya kitaasisi kuhakikisha hivi vyama vipo katika level footing

Hakuna...
 
Upinzani wananyimwaje pesa na serikali?? Ruzuku hawapati??
Formula ya ruzuku is a lie..

Na,msajili wa vyama is a mawe puppet..

He is there to oppress vyama vya upinzani on behalf of mawe who put him there!

Hela ya ruzuku ni ndogo compared na operations za kuing'oa ccm madarakani,pamoja na udogo wake,mtoaji ni mawe agent,ana-squeeze akitakacho na kwa formula decided by them and hela kucheleweshwa na wao watakavyo na kwa kiasi watakacho..

You have no say on this....whatsoever!

Una -deal na ajent wa your oppressor of which upo nae kwenye mashindano,does not make any sense!

Ndio maana msajili ni enemy wa vyama vya siasa except ccm,cuf na udp na tlp.....
 
Kumbe hadi kuchangishana? Hii kali aisee, ruzuku wamegawana na kununua magari ya kifahari leo wanawachangisha masikini, kauli ya mwenye nacho anaongezewa na masikini ananyang'anywa kile kidogo alichonacho.
 
Back
Top Bottom