Uchaguzi 2020 Nilikuwepo kwenye mkutano, sijapenda kuchangishwa fedha kinguvu

Uchaguzi 2020 Nilikuwepo kwenye mkutano, sijapenda kuchangishwa fedha kinguvu

TBC wameondoka kabla lissu hajapanda jukwaani saa 11 jioni, TBC tumewaondoa kipindi mbowe anaongea
Tatizo hhwa hamuhudhurii ila kelele tu ndio nyingi
Nimesikia kuwa baada ya kuona watu wanachangia, mkakata mtandao!! CCM waoga sana...
 
Alisema toa simu yako kisha bonyeza.....
Hapo huoni kama katushurutisha??
Hata kama ni kushurutishwa. Kumbuka hukushikiwa panga au silaha ya moto kwamba ni lazima utoe. Ni wewe na maamuzi yako utoe au usitoe.
 
Kweli na ndio maana tukamuambia hakuna network
Hata kama ni kushurutishwa. Kumbuka hukushikiwa panga au silaha ya moto kwamba ni lazima utoe. Ni wewe na maamuzi yako utoe au usitoe.
 
Alisema toa simu yako kisha bonyeza.....
Hapo huoni kama katushurutisha??
Lakini hakuna alietishiwa kwamba asipotoa simu yake ataadhibiwa kwa namna yoyote ndio maana mimi sijatoa simu na bado sijadhurika

Acheni habari zenu, kama uliona hutaki kuchanga ungesepa au ungeficha simu yako hata kwenye brazia wala hakuna ambae angekupiga risasi
 
Ila nadhani somo kalipata kuwa hatuna pesa
Lakini hakuna alietishiwa kwamba asipotoa simu yake ataadhibiwa kwa namna yoyote ndio maana mimi sijatoa simu na bado sijadhurika

Acheni habari zenu, kama uliona hutaki kuchanga ungesepa au ungeficha simu yako hata kwenye brazia wala hakuna ambae angekupiga risasi
 
Ni kweli kasema "Simu zenu za mchina ?Maana walipoanza michango mimi niakenda kunywa maji.
 
Umechangishwa vipi kinguvu sasa !?

Mimi nilidhani walisema kuwa asitoke mtu yoyote katila viunga vya uwanja wa hiyo hadhara bila ya kuchangia pesa. Na endapo akitoka bila ya kuchangia security wata mshurutisha
 
Mm na wenzangu tulioenda pamoja, ukweli anaujua kuwa watu hawajachanga
Wewe na nani kwa mfanp hamna pesa, maana watu wamechanga, sema wewe na lumumba wenzio pamoja na cuf ndio hamna hela sio CDM
 
Back
Top Bottom