Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #41
Ni kweli kasema "Simu zenu za mchina ?Maana walipoanza michango mimi niakenda kunywa maji.
Mwaka huu mtalia na kusaga meno.
Kwani namba ya kutuma michango ni ipi?
Umechangishwa vipi kinguvu sasa !?
Mimi nilidhani walisema kuwa asitoke mtu yoyote katila viunga vya uwanja wa hiyo hadhara bila ya kuchangia pesa. Na endapo akitoka bila ya kuchangia security wata mshurutisha
Acha
Acha uongo
Vitu vya hiyari havijawahi hata siku moja kulazimishwa!
Kuchangia ni hiyari ya mtu,hamna mtu anaweza kua coerced kuchangia vitu vya hiyari!
Na iwe coercion lazima kuwe na enforcing unit,ije kulazimoisha watu kwa nguvu,vyama vya hiyari havina hizo.
Serikali ndio ina upumbavu huu!
Punguza unafiki
Punguza unafiki kidogo itapendeza sana...Hakuna unafki bali pesa HATUNA
kuna jamaa yangu alianza kufatisha ghafla akasikia chagua namna 4, kumbukumbu namba weka CDM2020, ghafla weka kiasi, ghafla password...... Jamaa akashtuka nkaona anaitia simu mfukoni
Punguza unafiki kidogo itapendeza sana...
Ni oni nimekupa tu..
Weka hoja serious mezani.....unaona wagombea zaidi ya 200 wa upinzani nchini wamekatwa makusudi,ila wa ccm hawajakatwa kwa lolote!
Unaona haki za wananchi kuchagua hawa watu zilivyopotea?Unasemaje kuhusu hili?
Sio issue serious ya kufatilia na kujua why?
Kinacho gomba hapa ni kutembeza bakuli - yaani ombaomba! Akakatabia kwa mtu huyu kamekuwa kama kansa - kila akipata nafasi anatoa mkono bbaba! bbaba! bbaba!Sikuona mitutu ya bunduki kushurtisha myu kuchanga, hata mimi nilikuepo ila simu yangu sijaitoa wala sijachanga na sijaadhibiwa na mtu
Pesa hakuna,ni jukumu la wananchi kufanya kazi kwa juhudi wajijengee mali kadiri ya uwezo na akili zao mtu mmoja mmoja..Hizo hoja nimekubaliana nazo ni nimeshangilia sana kipindi lissu anazizungumza, ILA ninakumbusha tu kuwa PESA HATUNA. Tupo tayari kusikiliza hoja zote nzuri lakini sio KUCHANGA PESA
Nakubaliana na wewe na ndio maana leo mm na wenzangu tuligoma kuchanga pesaPesa hakuna,ni jukumu la wananchi kufanya kazi kwa juhudi wajijengee mali kadiri ya uwezo na akili zao mtu mmoja mmoja..
Kazi ya serikali ni kutoa ulinzi na ku-dispence justice na kukaa mbali na wananchi isiwabugudhi au kuwaingilia kwa aina yoyote!
Kazi ya kuingilia uhuru wa mtu mmoja mmoja na kuwanyang'anya mali zao kwa mfumo wa kodi au matamko au kuwavuruga kwa sera za intervention eti serikali imeamua ni za kuacha mara moja..
Toa uhuru binafsi 100%,toa haki 100%,simamia sheria 100%,toa ulinzi 100%....then toa matako mbele ya wananchi kalale kwako huko,no one needs a politician to decide anything about their lives !
Upinzani Tanzania ni kazi ngumu sanaKweli aisee,
Kuna jamaa yangu alianza kufatisha ghafla akasikia chagua namna 4, kumbukumbu namba weka CDM2020, ghafla weka kiasi, ghafla password...... Jamaa akashtuka nkaona anaitia simu mfukoni
Wewe hukutoa,sisi tunaoweza kujitolea hua tunatoa kadiri tunavyoweza tena kwa moyo mweupe kabisa..Nakubaliana na wewe na ndio maana leo mm na wenzangu tuligoma kuchanga pesa
Upinzani Tanzania ni kazi ngumu sana
Hakuna pesa,wananyimwa pesa na serikali pinzani inayowachukia,ni hela za michango walalahoi mimi na yule ndio walao inasaidia..
CCM ni criminal organization,inabeba hela for free from the government watakavyo maana mwenye serikali ni mwenyekiti wake
It is even not fair kabisa...
Kuhusu operational costs,dont even compare,ni sisimizi na ccm tembo,not fair fight kabisa!
Nchi ya hovyo sana hii,hakuna mifumo imara ya kitaasisi kuhakikisha hivi vyama vipo katika level footing
Hakuna...
Formula ya ruzuku is a lie..Upinzani wananyimwaje pesa na serikali?? Ruzuku hawapati??
Hata mlo mmoja kwa siku hupatiAcha ujinga wewe, HATUNA PESA ZA KUCHANGA
Kumbe Ni kweli hela ya diesel imekata, kwahiyo chops mwaka huu hamna?Kauli aliyotoa ilikuwa ya shuruti, anasema toa simu yako kisha bonyeza......hapo huoni katushurutisha?