Uchaguzi 2020 Nilikuwepo kwenye mkutano, sijapenda kuchangishwa fedha kinguvu

Yani chama kinapitisha bakuli siku ya uzinduzi wa kampeni kweli!. Tukisema wapinzani bado mikakati ya ushindi hawana Wana panic!.Strategic tu za kampeni zina washinda , wataweza kuongoza nchi kweli hawa!.
 
Tuchangie jamani ccm walikwapua trillioni 1.5 za kodi zetu.
 
Aisee usimlinganishe Hillary Clinton na huu utopolo wenu.
Inawezekana kweli nisimlinganishe,inaonekana demokrasia yetu na US tofauti.Ila wenye demokrasia yao wanafanya hivyo,Lissu yupo sawa.
 

Hapo hapo mnasema Magu kanifanyia maisha magumu na watu hawana ajira, hakuna hela mfukoni na hapo hapo wanataka watu wawachangie mbona kauli zinapingana hizi.
 

Tuwe serious na nn ccm izo Mali walizonazo c zimetokana na rasilimali zetu mbona hutumii akili broo ,issue ya vyombo vya habari inaeleweka kwamba vyombo vya habari vimenunuliwa mpka,vyombo vingapi vilivyokuwa vinatoa habari za cdm vimefungwa unaongea ujinga mtupu
 
Hata wakati wa chama kimoja hakuna aliyepita bila “kupingwa”
Angalau na hatimaye, tena kwa unyonge Mkuu BAK unajitosa jukwaani kwamba upo. Kama uzinduzi ungekuwa na mafuriko hakika JF ingejaa bandiko za shangwe.

Ukweli, kama mada ilivyo, na nilikwisha toa angalizo mapema, hazina ya CHADEMA imesafishwa kitambo na kuvunjwa vipande vipande katika kugharamia mikutano isiyo na tija ya Lissu, mgombea wao, kutafuta wadhamini.

Sasa, viongozi wa CHADEMA wanafuta njia ya kujinasua na aibu kwa matamshi ya kuchochea vurugu. Ila wajifunze kwa jinsi Serikali ilivyokaa kimya Lissu akizunguka mikoani huku akimwaga kejeli na dharau kubwa dhidi ya viongozi wake na dini.
 

Siasa za kibabe za ccm Ndio zimepelekea nchi kufika apa kaZi ni kununua wabunge na madiwani its a shame then fedha za walipa kodi mnafanya kazi ya kuwalipa wasanii ili kuwavutia watanzania wajinga wajae,usilete ushabiki wa yanga na Simba kwenye siasa broo,consequence zake haitajali ww ni ccm au cdm kama vijana inatakiwa tuangalie maslahi ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…