Nilileta nyuzi nyingi kuhusu wasanii wa kiume na hereni, kusuka pamoja na vipini puani hamkunielewa. Sasa P Didy kaja kuwafumbua macho

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Niliwaambia na nitawaambia kuwa shetani ndiye Mungu wa Dunia hii. Na ili akupe vya Dunia hii au akupe miliki yake lazima umsujudie. Wasanii wetu wanachotaka ni aidha pesa au umaarufu na hivyo vyote ibilisi anavyo. Ukimsujudia (kukubali amri zake) anakupa pesa nyingi na umaarufu anakupa.
Hawa wasanii wa kiume wanaovaa hereni wamemsujudia.
Wanaovaa nguo za hovyo za kuonyesha vitovu , za kuonyesha migongo wamemsujudia.
Wanaovaa hereni na vipini wamemsujudia.
Wote hao waliomsujudia amewapa task ya kueneza mapenzi ya jinsia moja kwa kujua au kwa kutokujua.
Nyimbo yoyote lazima ibebe roho, kadri unavyosikiliza unaruhusu roho iliyopandwa kwenye wimbo ikuingie.
Wimbo unaweza ukawa na dk 6 lakini madhabahu iliyoshikia wimbo iko na sekunde 2 mbili.
Hata hizi Hollywood movies the same.
Jamani kuweni macho.
Unaweza kujikuta uko na 50's mara unaanza kupatwa na hamu za kuzagamuliwa from no where.
Bosi wa Idara nyeti Tanga mwaka jana kapelekwa hospital kutolewa tango makalioni alilojiingiza akiwa ndani ya choo cha ofisi. Unfortunately likaingia lote akashindwa kujitoa .
Ombeeni watoto wenu, upinde everywhere.
 
Sean Combs a.k.a P Diddy a.k.a LOVE is innocent!...... Free didy! ushoga ni ajenda ambayo imekuwa ikipigiwa chapuo kwa nguvu kubwa na mataifa ya magharibi ikiwemo hiyo Amerika, kwa muktadha huo shida ya Diddy iko wapi? FREE PUFFY!
 
Kwani P diddy anatuhumiwa kwa kosa gani?
Kijana diamond kamuulize. Ila hizo x-za kungonoka za akina diamond zikitoka sijui itakuwaje. Ndiyo maana Nasibu alibadilika ghafla kutoka yule mjela jela wa tandika mpaka kiwa mdebweto kubana pua na kulegeza macho mwili kumbe bikra imeenda na didi ila jamaa mshenzi sana, meneja wake naye linda kwisha kapata hela kaja kuhonga ubunge hahaha ila dunia hii usiige mafanikio ya mwenzako. Maana kuna clip Mondi anahangaika hata kutembea
 
Ahahahahh 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sean Combs a.k.a P Diddy a.k.a LOVE is innocent!...... Free didy! ushoga ni ajenda ambayo imekuwa ikipigiwa chapuo kwa nguvu kubwa na mataifa ya magharibi ikiwemo hiyo Amerika, kwa muktadha huo shida ya Diddy iko wapi? FREE PUFFY!
free puffy
 
Huu ni mtazamo binafsi. Hata hivyo hukunijibu swali langu, p diddy anatuhumiwa kwa kosa gani?
 
Unaongea mambo ya kusadikika you nothing about devil and GOD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…