Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Niliwaambia na nitawaambia kuwa shetani ndiye Mungu wa Dunia hii. Na ili akupe vya Dunia hii au akupe miliki yake lazima umsujudie. Wasanii wetu wanachotaka ni aidha pesa au umaarufu na hivyo vyote ibilisi anavyo. Ukimsujudia (kukubali amri zake) anakupa pesa nyingi na umaarufu anakupa.
Hawa wasanii wa kiume wanaovaa hereni wamemsujudia.
Wanaovaa nguo za hovyo za kuonyesha vitovu , za kuonyesha migongo wamemsujudia.
Wanaovaa hereni na vipini wamemsujudia.
Wote hao waliomsujudia amewapa task ya kueneza mapenzi ya jinsia moja kwa kujua au kwa kutokujua.
Nyimbo yoyote lazima ibebe roho, kadri unavyosikiliza unaruhusu roho iliyopandwa kwenye wimbo ikuingie.
Wimbo unaweza ukawa na dk 6 lakini madhabahu iliyoshikia wimbo iko na sekunde 2 mbili.
Hata hizi Hollywood movies the same.
Jamani kuweni macho.
Unaweza kujikuta uko na 50's mara unaanza kupatwa na hamu za kuzagamuliwa from no where.
Bosi wa Idara nyeti Tanga mwaka jana kapelekwa hospital kutolewa tango makalioni alilojiingiza akiwa ndani ya choo cha ofisi. Unfortunately likaingia lote akashindwa kujitoa .
Ombeeni watoto wenu, upinde everywhere.