Nilileta nyuzi nyingi kuhusu wasanii wa kiume na hereni, kusuka pamoja na vipini puani hamkunielewa. Sasa P Didy kaja kuwafumbua macho

Machifu walivaa hereni, Masai hereni, sasa dini za wenyewe zachanganya akili zetu mpaka yawa majanga!
 
 
Hao wasanii wa kawaida tu hawahusiani lolote na upinde,wanamegwa kwa matakwa yao.
 
Ndio maana Roma Mkatoliki havai
 
Mke wangu akivaa bikini nje ya chumba chetu cha kulala hiyo ndiyo itakuwa talaka yake.
Mimi si mwanaume mjinga wife nilimpa masharti yote tangu tukiwa wachumba. Ndoa ni Kambi ya jeshi haiendi tu kijingajinga
Jaman bikini inavaliwa na mtu yoyote, na bikini inavaliwa kama hutaki mistari ya chupi ionekane kwenye nguo yako, so unavaa bikini kwa ajili hiyo, wengine wanavaa wabapoenda kugongwa so sio kila mtu anavaa bikini kwa ajili ya kugongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…