Nilileta nyuzi nyingi kuhusu wasanii wa kiume na hereni, kusuka pamoja na vipini puani hamkunielewa. Sasa P Didy kaja kuwafumbua macho

da!!!....aisee noma sana "MUNGU yupo gym anapasha,akitoka huko atawatia vitasa wasenge na mabasha wote"
 
da!!!....aisee noma sana "MUNGU yupo gym anapasha,akitoka huko atawatia vitasa wasenge na mabasha wote"
Dhambi sio hiyo tuu, zipo dhambi nyingi lakini angalia usije ukahukumiwa wewe, Mungu formula yake sio kama ya binadamu unaweza mkuta msenge na basha mbingu ww ukaenda motoni, Hukumu ni ya Mungu tuu.

Lakini, usisahau wanaokula macho ya wanawake kama wale kina nyundo, kiufupi mwanamme kula jicho ni rahisi kuliko mtu kuliwa jicho, sitaki kuongea sana ngoja niishie hapa.
 
Hamna ki2 kama hicho,msenge na basha hawawezi kwenda MBINGUNI,kama ndivyo MUNGU asingelipua SODOMA na GOMORA!!!!
 
Si angelinya tu hilo tango..
 
Hamna ki2 kama hicho,msenge na basha hawawezi kwenda MBINGUNI,kama ndivyo MUNGU asingelipua SODOMA na GOMORA!!!!
Ww sio Mungu, Heri mwisho mwema kuliko mwanzo, ww huna mbingu, watu wanapata neema, wameingia wauaji kina Sauli, hebu tulia formula ya Mungu sio ya mwanadamu, mtu anaweza akatapa neema ukashangaa
 
Ww sio Mungu, Heri mwisho mwema kuliko mwanzo, ww huna mbingu, watu wanapata neema, wameingia wauaji kina Sauli, hebu tulia formula ya Mungu sio ya mwanadamu, mtu anaweza akatapa neema ukashangaa
Hukumu zake hazichunguziki.
Tuache kuhukumiana hakika.
 
P Diddy alimtafuna dangote ili amwingize chama la mataniri
 
Na yeye kwanini sijui aliingiza lote, sijapenda kabisa
Usipende wewe inakuhusu nini wakati aliyefanya ndiye alipenda?

Inakuwa kama unamlaani mwanachama mwenzako kwa kufanya kizembe, yaani kawaangusha.

Dunia ina maajabu sana hii
 
Noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…