GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa Kumdharau Mtu aliyemtoa Producer Master Jay kuanzia leo nimemtoa Thamani kwani Kakosea mno
Eee, walidhani wapo nyu yok siri starehe kupeana midenda.Hivi demu wa nature ndio alipigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda?
Uzalilishaji wanaume kunengua viuno
burdan hiyo mkuuUzalilishaji wanaume kunengua viuno
Master J ni professional producer, kasomea sound engineering UKMJ record ilisaidia wasanii wengi wachanga mana ilisemekana Enzi hzo kupata chance Kwa majani au Mika mwamba ilikuwa ngumu , although Master J hakuwa professional producer , na sio taaluma yake ila NI hobby yake , na beat nyingi pale MJ zilipigwa na vijana alikuwa amewaajiri!! Siku zilivyokuwa zinaenda na yeye alimaster kugonga beat zenye mashiko ... Ila majani yupo far ahead
Kwa ki cheza Dili na waandishi Ili muharibu jina; hili swala ni lako mama usimsingizie Tina.Eee, walidhani wapo nyu yok siri starehe kupeana midenda.
Majani kwa kipindi alishiriki kutengeneza hit songs nyingi sana!MJ record ilisaidia wasanii wengi wachanga mana ilisemekana Enzi hzo kupata chance Kwa majani au Mika mwamba ilikuwa ngumu , although Master J hakuwa professional producer , na sio taaluma yake ila NI hobby yake , na beat nyingi pale MJ zilipigwa na vijana alikuwa amewaajiri!! Siku zilivyokuwa zinaenda na yeye alimaster kugonga beat zenye mashiko ... Ila majani yupo far ahead
Master J Kasomea electricity huko London , ,hajasomea hyo sound engineer, alikuwa Anapenda mambo ya mziki na mara kibao walikuwa wanakwaruzana home na mshua , Kwa vile aliegemea Sana kupenda mziki Mzee ikabid amnunulie vifaa , mda huo alikuwa akitengeneza beat Kwa kuunga unga tuu Ile kupendaMaster J ni professional producer, kasomea sound engineering UK
Kazi nyingi alifanya yeye sio vijana wake(though sio vijana)
Achana na Wikipedia, mambo yasiwe mengi msikilize mwenyewe. Dakika ya 26 kazungumzia hilo. Kama na yeye mwenyewe utambishia basi sawaMaster J Kasomea electricity huko London , ,hajasomea hyo sound engineer, alikuwa Anapenda mambo ya mziki na mara kibao walikuwa wanakwaruzana home na mshua , Kwa vile aliegemea Sana kupenda mziki Mzee ikabid amnunulie vifaa , mda huo alikuwa akitengeneza beat Kwa kuunga unga tuu Ile kupenda View attachment 3475940
Pfunk hajamfikia Mika MwambaMJ record ilisaidia wasanii wengi wachanga mana ilisemekana Enzi hzo kupata chance Kwa majani au Mika mwamba ilikuwa ngumu , although Master J hakuwa professional producer , na sio taaluma yake ila NI hobby yake , na beat nyingi pale MJ zilipigwa na vijana alikuwa amewaajiri!! Siku zilivyokuwa zinaenda na yeye alimaster kugonga beat zenye mashiko ... Ila majani yupo far ahead
Master J sio professional producer? What are you smoking?MJ record ilisaidia wasanii wengi wachanga mana ilisemekana Enzi hzo kupata chance Kwa majani au Mika mwamba ilikuwa ngumu , although Master J hakuwa professional producer , na sio taaluma yake ila NI hobby yake , na beat nyingi pale MJ zilipigwa na vijana alikuwa amewaajiri!! Siku zilivyokuwa zinaenda na yeye alimaster kugonga beat zenye mashiko ... Ila majani yupo far ahead
Unaota wewe.Pfunk hajamfikia Mika Mwamba