Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa kitendo hiki nimemtoa thamani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa Kumdharau Mtu aliyemtoa Producer Master Jay kuanzia leo nimemtoa Thamani kwani Kakosea mno

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
MJ record ilisaidia wasanii wengi wachanga mana ilisemekana Enzi hzo kupata chance Kwa majani au Mika mwamba ilikuwa ngumu , although Master J hakuwa professional producer , na sio taaluma yake ila NI hobby yake , na beat nyingi pale MJ zilipigwa na vijana alikuwa amewaajiri!! Siku zilivyokuwa zinaenda na yeye alimaster kugonga beat zenye mashiko ... Ila majani yupo far ahead
 
Master J ni professional producer, kasomea sound engineering UK
Kazi nyingi alifanya yeye sio vijana wake(though sio vijana)
 
Majani kwa kipindi alishiriki kutengeneza hit songs nyingi sana!
Mchango wake ulikua mkubwa kuliko master.

Master j sikuhizi anaongea sana! Mda mwingi anatumia nguvu kubwa sana kwa hiki kizazi Cha Sasa anahisi hakifanyi vizuri! Kumbe Kila mtu ni Bora kwa zama zake.

Ndiomana hata nature kajizima data kampopoa tu!
 
Master J ni professional producer, kasomea sound engineering UK
Kazi nyingi alifanya yeye sio vijana wake(though sio vijana)
Master J Kasomea electricity huko London , ,hajasomea hyo sound engineer, alikuwa Anapenda mambo ya mziki na mara kibao walikuwa wanakwaruzana home na mshua , Kwa vile aliegemea Sana kupenda mziki Mzee ikabid amnunulie vifaa , mda huo alikuwa akitengeneza beat Kwa kuunga unga tuu Ile kupenda
 
Achana na Wikipedia, mambo yasiwe mengi msikilize mwenyewe. Dakika ya 26 kazungumzia hilo. Kama na yeye mwenyewe utambishia basi sawa

View: https://youtu.be/Qaf3ECrMRMI?si=6YTsfpLq6dgwk5wx
 
Pfunk hajamfikia Mika Mwamba
 
Master J sio professional producer? What are you smoking?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…