Nikopeshe mimi babu naahidi kukurejeshea na bibi wa kukuletea kiko uvute ugolo nakuletea kama bonus..!! 😹Watanzania wengi tuna changamoto ya kukosa uaminifu
Binafsi nimekutana na hiyo changamoto kwa watu 4 ambao niliwakopesha kwa ahadi wangerejesha baada ya mwezi mmoja.
Sasa imepita miezi 24, wengine miezi 36 🙌
Saivi bora kuwaeleza wakakope kwenye hela za moto, si Kuna Taasisi zinakopesha milioni 1 kwa kurejesha 1.5
Bora uwaelekeze waende huko, wakakutane na mabingwa wa kudai hela
We nae huna akili, kwanza huyo kamuazimisha hela,kwani ni kosa la jinai kuazimana pesa? Kukopesha kazi ya taasisi zilizo sajiliwa.Unajua Sheria ya kukopeshana..?
Unanitega mjukuu, sijui umejuaje kwamba nimepokea hela za pension 🤭Nikopeshe mimi babu naahidi kukurejeshea na bibi wa kukuletea kiko uvute ugolo nakuletea kama bonus..!! 😹
Uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo.We nae huna akili, kwanza huyo kamuazimisha hela,kwani ni kosa la jinai kuazimana pesa? Kukopesha kazi ya taasisi zilizo sajiliwa.
Babu weka mzigo chap, nakuletea yule bibi full package achana na kina mwajuma ndala ndefu..!! 😹😹Unanitega mjukuu, sijui umejuaje kwamba nimepokea hela za pension 🤭
Fanya uniletee Kiko tuyajenge sasa 🤗
Principle ya kukopesha ni Moja tu!!Habari Wakuu,
Kuna jambo nimejifunza kuwa kuna vitu ukivifanya vinaweza kuvunja au kudhoofisha urafiki au mahusiano.
Nina mshikaji wangu mmoja jana tumekutana tukawa tunapiga stori mbili tatu kisha akaniuliza kuhusu maendeleo ya jamaa yetu mmoja wa tangu sekondari, kiukweli ilinipa wakati mgumu kueleza uhusiano wetu kwa sasa maana haupo katika hali nzuri.
Huyu jamaa yangu wa kitambo mwezi wa pili mwaka 2024 alinipigia simu na kuniomba nimsaidie kiasi cha fedha Milioni 1 akidai amepata changamoto kubwa, nilipomuuliza ni changamoto gani hakuwa huru kueleza basi nami nikaona si vyema kumlazimisha ilhali hayupo huru.
Nakumbuka kipindi hicho mwenyewe nilikuwa katika hali mbaya lakini ilinibidi nikope kwa mtu mwingine laki 5 na mimi nikaongezea yangu niliyokuwa nayo laki 5 ikawa Milioni 1 kisha nikamtumia huyo jamaa yangu na alihaidi ndani ya mwezi 1 ambapo ilitakiwa iwe katikati ya mwezi wa 3.
Nilibaki mtupu kiasi cha kumtegemea Bi Mkubwa kunisapoti kufikia mshahara wa mwisho wa mwezi huku nikiamini ndani ya hizo wiki nne jamaa atakuwa amerejesha ile fedha.
Bila kujua mwezi 1 ingezaa miaka 2 sasa nilijikuta nalipa kule nilikokopa ile laki 5, jamaa mwanzoni alikuwa anashika simu anadai bado yuko vibaya imefika hatua nimechoka na nimekata tamaa hata kumtafuta, nimeamua nisijione mjinga bali nimwachie Menyezi Mungu nikiamini yeye aliyeniwezesha basi ataniwezesha tena kupata zaidi ya nilichopoteza katika karakati za kusaidia. Lakini inavunja moyo hata kutoweza kuwasaidia wengine ukidhani ni yaleyale yatatokea tena
Maneno si ndiyo hayo mjukuu, ngoja niandae dawa zangu za Presha sasa 🤗Babu weka mzigo chap, nakuletea yule bibi full package achana na kina mwajuma ndala ndefu..!! 😹😹
Uchukulie umetoa sadaka bila kupenda 🙌Principle ya kukopesha ni Moja tu!!
Kopesha kiasi ambacho unaweza kusamehe...
Linda mgongo,hali mbaya .Naomba Mwenye 30000 Anikopeshe.... Nitarejesha Nasisitiza ⁉️
Zaidi ya elfu 20Ushauri tu. usimkopeshe mtanzania Zaidi ya shilingi elfu hamsini. Ni ushauri tu.
Ni kweli otherwise utakosana sana na watu!!Uchukulie umetoa sadaka bila kupenda 🙌
Bwashe nalinda mgongo haswaLinda mgongo,hali mbaya .
Toa msaada...Ili kulinda mahusiano jitahidi sana msikopeshane pesa na mtu yoyote
Kwani kwa dini nyingine hakuna sadaka na fungu la 10?Wakkristo ni mazuzu sana! Mnawatajirisha hao matapeli bila kujua aisee!
Ukitaka baraka toka kwa Mungu saidia masikini direct sio matapeli wachungaji na mapadri sijui manabii
Hakika Mkuu, Ukitaka kujua hili angalia hata Taasisi zinazokopesha kupitia laini za simuNi kweli otherwise utakosana sana na watu!!