Hapana🤣Mimi nimeshangaa ananiita bwashehe.Au ni kaka yako na wewe?
Cha ajabu sina dada wala kaka.Nilizani ni kaka yako labda.Hapana🤣
Kukopesha mtu pesa nilishagaacha, ninachokifanya ni kumsaidia mtu kile ninachoweza kumsaidia.Habari Wakuu,
Kuna jambo nimejifunza kuwa kuna vitu ukivifanya vinaweza kuvunja au kudhoofisha urafiki au mahusiano.
Nina mshikaji wangu mmoja jana tumekutana tukawa tunapiga stori mbili tatu kisha akaniuliza kuhusu maendeleo ya jamaa yetu mmoja wa tangu sekondari, kiukweli ilinipa wakati mgumu kueleza uhusiano wetu kwa sasa maana haupo katika hali nzuri.
Huyu jamaa yangu wa kitambo mwezi wa pili mwaka 2024 alinipigia simu na kuniomba nimsaidie kiasi cha fedha Milioni 1 akidai amepata changamoto kubwa, nilipomuuliza ni changamoto gani hakuwa huru kueleza basi nami nikaona si vyema kumlazimisha ilhali hayupo huru.
Nakumbuka kipindi hicho mwenyewe nilikuwa katika hali mbaya lakini ilinibidi nikope kwa mtu mwingine laki 5 na mimi nikaongezea yangu niliyokuwa nayo laki 5 ikawa Milioni 1 kisha nikamtumia huyo jamaa yangu na alihaidi ndani ya mwezi 1 ambapo ilitakiwa iwe katikati ya mwezi wa 3.
Nilibaki mtupu kiasi cha kumtegemea Bi Mkubwa kunisapoti kufikia mshahara wa mwisho wa mwezi huku nikiamini ndani ya hizo wiki nne jamaa atakuwa amerejesha ile fedha.
Bila kujua mwezi 1 ingezaa miaka 2 sasa nilijikuta nalipa kule nilikokopa ile laki 5, jamaa mwanzoni alikuwa anashika simu anadai bado yuko vibaya imefika hatua nimechoka na nimekata tamaa hata kumtafuta, nimeamua nisijione mjinga bali nimwachie Menyezi Mungu nikiamini yeye aliyeniwezesha basi ataniwezesha tena kupata zaidi ya nilichopoteza katika karakati za kusaidia. Lakini inavunja moyo hata kutoweza kuwasaidia wengine ukidhani ni yaleyale yatatokea tena
HahahahaWanataka tena msaada? Yule mwingine kasema kafiwa amechangiwa pesa ametokomea mitini.
Jana alikuja kwa id nyingine kuomba msaada mods wameunganisha id wakafuta uzi wake
Sir mgax niwemkweli Kuna nyakati na shida ila sipo Hivo I swearNa ninawasiwasi na hawa ombaomba wa online,ni sawa na yule muuzamadawa wa pale morocco.
1995_No_Ku_Fake acha hizi pigo mkuu.
Kuna mshikaji nlimkopesha 30K tuna enda mwaka sasa story nyingi
Niko gereji kwa Sasa...Unapatikana mkoa gani na unahitaji kazi ya aina gani.Huruma sio malezi unaweza kufirwa hata kwa bahati mbaya.
Namba yangu unayo,nitumie details zako muhimu.
Siunganishii kazi wasomi😀😂.
Hongera sana.Kazi ni nzuri.Kunawakati kipato ni kidogo sana,Omba dua.Niko gereji kwa Sasa...
Nimekuelewa Sana.... Asante 🙏 Sir mgaxHongera sana.Kazi ni nzuri.Kunawakati kipato ni kidogo sana,Omba dua.
Ila punguza kutia huruma kwa ID yako ya JF inashahabiana na ID yako halisi.
UNAJIDHALILISHA sijui ni ZARIRISHA ingawa umeelewa.
Alibugi sana aisee...Mwenzio hadi kakopa ili akopeshe!
Elfu hamsini yote hiyo...mwisho kukopesha 5000 tuUshauri tu. usimkopeshe mtanzania Zaidi ya shilingi elfu hamsini. Ni ushauri tu.
Uislam fungu la kumi ni kwajili ya masikini!Kwani kwa dini nyingine hakuna sadaka na fungu la 10?
Basi tutampa Nchi mumeo atutawale au unasemaje Binti yangu?Uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo.
Pole sana.
Acha ccm iendelee kuwatawala maana hamna akili.
Inshort nimeshakata tamaa naye maana ukimtafuta anakuhaidi kabisa kwamba atatuma kiasi ili apunguze lakini wapiUkiona vile ujue kuwa jamaa alipata changamoto kubwa.si ajabu hiyo changamoto bado haijatatuliwa ila anashindwa kukueleza ukweli.kama ungemjua mtu wa karibu naye huenda ungejua nini kinamsibu.kimsingi wewe vumilia tu iko siku akikaa sawa atakurejeshea.Ila umfuatilie ujue nini kimemkuta.
Huoni hapo utakua hujamsaidia huyo rafiki yako?Rafiki hasemwi na ata akikosea unasamehe ndo maana ya urafiki
Hujakosea... ndivyo wengi mnaandika.