The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Ndio umeandika nini hiki?Hujakosea... ndivyo wengi mnaandika.

Unaongea nn na unatukana nini Sasa? Nilifikiri uislam hauna fungu la 10 Wala hauna mambo ya sadaka. Sema nyie is either hamna pesa au hamuwajibiki Kutoa sada misikitini ndio mana siku hizi mashehe wenu wameanza kulalamikia waumini wao hawatoi sadaka kama kwa uaminifu kama wagalatia.Uislam fungu la kumi ni kwajili ya masikini!
Sadaka unatoa msikitini au kumpa hata masikini pia!
Nyie mazuzu mnawatajirisha hao matapeli kwa hizo pesa za funguo la kumi,mnawaacha masikini wakiwa hoi! Yaan mtu anaacha kusaidia masikini,heti anaona akipeleka pesa kwa matapeli ya huko madhhabaini ndio anapata baraka za Mungu
Sasa hapa bongo watu wa dini gani ndio wenye mpunga zaidi ya waislam?Unaongea nn na unatukana nini Sasa? Nilifikiri uislam hauna fungu la 10 Wala hauna mambo ya sadaka. Sema nyie is either hamna pesa au hamuwajibiki Kutoa sada misikitini ndio mana siku hizi mashehe wenu wameanza kulalamikia waumini wao hawatoi sadaka kama kwa uaminifu kama wagalatia.
Unaanzaje kumkopesha mtu kiasi chote hicho cha pesa.Habari Wakuu,
Kuna jambo nimejifunza kuwa kuna vitu ukivifanya vinaweza kuvunja au kudhoofisha urafiki au mahusiano.
Nina mshikaji wangu mmoja jana tumekutana tukawa tunapiga stori mbili tatu kisha akaniuliza kuhusu maendeleo ya jamaa yetu mmoja wa tangu sekondari, kiukweli ilinipa wakati mgumu kueleza uhusiano wetu kwa sasa maana haupo katika hali nzuri.
Huyu jamaa yangu wa kitambo mwezi wa pili mwaka 2024 alinipigia simu na kuniomba nimsaidie kiasi cha fedha Milioni 1 akidai amepata changamoto kubwa, nilipomuuliza ni changamoto gani hakuwa huru kueleza basi nami nikaona si vyema kumlazimisha ilhali hayupo huru.
Nakumbuka kipindi hicho mwenyewe nilikuwa katika hali mbaya lakini ilinibidi nikope kwa mtu mwingine laki 5 na mimi nikaongezea yangu niliyokuwa nayo laki 5 ikawa Milioni 1 kisha nikamtumia huyo jamaa yangu na alihaidi ndani ya mwezi 1 ambapo ilitakiwa iwe katikati ya mwezi wa 3.
Nilibaki mtupu kiasi cha kumtegemea Bi Mkubwa kunisapoti kufikia mshahara wa mwisho wa mwezi huku nikiamini ndani ya hizo wiki nne jamaa atakuwa amerejesha ile fedha.
Bila kujua mwezi 1 ingezaa miaka 2 sasa nilijikuta nalipa kule nilikokopa ile laki 5, jamaa mwanzoni alikuwa anashika simu anadai bado yuko vibaya imefika hatua nimechoka na nimekata tamaa hata kumtafuta, nimeamua nisijione mjinga bali nimwachie Menyezi Mungu nikiamini yeye aliyeniwezesha basi ataniwezesha tena kupata zaidi ya nilichopoteza katika karakati za kusaidia. Lakini inavunja moyo hata kutoweza kuwasaidia wengine ukidhani ni yaleyale yatatokea tena
Hivi kumkopesha mtu hela ni mpaka akwambie anataka kufanyia nini!!! Naona imekaa kimtego hiyo km masimango vile,,Unaanzaje kumkopesha mtu kiasi chote hicho cha pesa.
Na zaidi ya yote ukakopa tena ili umkopeshe yeye .
Na zaidi ya yote ukutambua ishara ya red flag ,
Alivyo kuwa hataki kukuambia anataka kukuambia atafanyia nini ili bidi ushtuke.
Wewe ni kondoo uliye kosa ufahamu
Mbwa mwitu wa janja wana kulalua.
Heri wewe mkuu, mi nilimkopesha ragiki yangu 2million, baada ya muda akaugua sana.Habari Wakuu,
Kuna jambo nimejifunza kuwa kuna vitu ukivifanya vinaweza kuvunja au kudhoofisha urafiki au mahusiano.
Nina mshikaji wangu mmoja jana tumekutana tukawa tunapiga stori mbili tatu kisha akaniuliza kuhusu maendeleo ya jamaa yetu mmoja wa tangu sekondari, kiukweli ilinipa wakati mgumu kueleza uhusiano wetu kwa sasa maana haupo katika hali nzuri.
Huyu jamaa yangu wa kitambo mwezi wa pili mwaka 2024 alinipigia simu na kuniomba nimsaidie kiasi cha fedha Milioni 1 akidai amepata changamoto kubwa, nilipomuuliza ni changamoto gani hakuwa huru kueleza basi nami nikaona si vyema kumlazimisha ilhali hayupo huru.
Nakumbuka kipindi hicho mwenyewe nilikuwa katika hali mbaya lakini ilinibidi nikope kwa mtu mwingine laki 5 na mimi nikaongezea yangu niliyokuwa nayo laki 5 ikawa Milioni 1 kisha nikamtumia huyo jamaa yangu na alihaidi ndani ya mwezi 1 ambapo ilitakiwa iwe katikati ya mwezi wa 3.
Nilibaki mtupu kiasi cha kumtegemea Bi Mkubwa kunisapoti kufikia mshahara wa mwisho wa mwezi huku nikiamini ndani ya hizo wiki nne jamaa atakuwa amerejesha ile fedha.
Bila kujua mwezi 1 ingezaa miaka 2 sasa nilijikuta nalipa kule nilikokopa ile laki 5, jamaa mwanzoni alikuwa anashika simu anadai bado yuko vibaya imefika hatua nimechoka na nimekata tamaa hata kumtafuta, nimeamua nisijione mjinga bali nimwachie Menyezi Mungu nikiamini yeye aliyeniwezesha basi ataniwezesha tena kupata zaidi ya nilichopoteza katika karakati za kusaidia. Lakini inavunja moyo hata kutoweza kuwasaidia wengine ukidhani ni yaleyale yatatokea tena
Nawewe bado unayo mengi ya kujifunza , pole yako.Hivi kumkopesha mtu hela ni mpaka akwambie anataka kufanyia nini!!! Naona imekaa kimtego hiyo km masimango vile,,
Hata hivyo siungi mkono mambo ya kukopeshana mi mwenyewe nimeshalizwa sana
Eti eeh huenda ukawa sahihi asanteNawewe bado unayo mengi ya kujifunza , pole yako.