Nilimkopesha rafiki yangu Milioni 1 akaahaidi ndani ya Mwezi anarejesha, ila ni miaka 2 sasa

Sasa sisi wakopaji itakuwaje jamani kama wote mnaanza kughairi kutukopesha.

Mi niseme sio wote wanaokopeshwa wasirudishe.

Hivyo rai yangu kwenu muangalie na watu wa kuwakopesha na sio msitukopeshe kabisa.
 
Ntalificha wapi hilo komwe langu matajiri wakisusa kutukopesha jamani 😭😭😭😭😭😭😭
 
mimi nilimkopesha elfu 50, ni miaka mi5 sasa na mawasiliano yamevunjika.
 
Kwa hiyo ukaingia deni kutoa mkopo
Hata awe nani siwezi kukopa kwa kumfurahisha mtu
Hilo limeisha tokea ila liwe somo
Chako ni chako tu
Ungempa ulicho nacho na zingine akatafute

Mimi ukiniomba mkopo sikupi
Na kama italazimu nitakupa elfu kumi au laki bure, ukaongeze unakojua

Tena kama ni mtu wa karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…