Nilimkopesha rafiki yangu Milioni 1 akaahaidi ndani ya Mwezi anarejesha, ila ni miaka 2 sasa

Kukopesha mtu pesa nilishagaacha, ninachokifanya ni kumsaidia mtu kile ninachoweza kumsaidia.
Maana nimeshapoteza marafiki wengi sana kwa kuwakopesha pesa Kisha wanashindwa kusimama katika uam
 
Kwani kwa dini nyingine hakuna sadaka na fungu la 10?
Uislam fungu la kumi ni kwajili ya masikini!

Sadaka unatoa msikitini au kumpa hata masikini pia!

Nyie mazuzu mnawatajirisha hao matapeli kwa hizo pesa za funguo la kumi,mnawaacha masikini wakiwa hoi! Yaan mtu anaacha kusaidia masikini,heti anaona akipeleka pesa kwa matapeli ya huko madhhabaini ndio anapata baraka za Mungu
 
Inshort nimeshakata tamaa naye maana ukimtafuta anakuhaidi kabisa kwamba atatuma kiasi ili apunguze lakini wapi
 
Rafiki hasemwi na ata akikosea unasamehe ndo maana ya urafiki
Huoni hapo utakua hujamsaidia huyo rafiki yako?

Wewe utakaa kimya ataona ni sawa mwishowe ataenda jichanganya kwa mtu mwingine ambae hatakaa kimya kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…