Nilimpata mchumba mchawi

Nilimpata mchumba mchawi

Jamani mwezi wa pili nilitoa uzi kuhusu kutafuta babe, wakaja wengi wazuri. Loh, kumbe ni lichawi! Visa nilivyovipata mpaka niliamua kwenda kwenye maombi.

Akikupigia mkapigana usiku, unamuota kashika fimbo meaning anakuuliza, utanisamehe au hii fimbo inakuishia yote? Nasema nimekusamehe, nisipomsamehe ananichapa haswa au akipiga sijapokea ananiambia, unadhani sijakuona? Nimekuona umevaa hivi na hivi, walahi anakupa ishara fulani unajua alikuwepo.

Mara nyingine hadi na makofi anakupatia na yupo Dodoma mie Arusha, alifanya vitimbi hadi nikaona hapa ni maombi, nikaenda kwa msaada zaidi na mpaka sasa ameniacha.

Humu kuna watu ma Free Mason, nakumbuka alivyonikata tumbo nilipokataa kuonana naye ili tupate watoto, nikamjibu fuata utaratibu, si ndiyo lengo letu? Akadai utaona, we mida ya kumi na mbili kamili jioni nikaona kitu shaaa tumboni, mara uwazi tumboni, weh damu zote chini, kupelekwa hospitali ilikuwa inshu nyingine.

Waliona wakashona ila haiponi, kwenda hospitali nyingine ndiyo hivyo. Nikaona mzee wa ukoo anisaidie kwa hili nikapona.

Ila nilikwenda maombi, sasa hivi humu mie hapana!
Wachumba tupo Arusha wewe ulienda Dodoma kutafuta nini? 😅Ila ukikuta mwanaume ni mchawi ujue ni kiongozi wa wachawi wa kijiwe flani. Pole mkuu, karibu supu Bluestone
 
Iko kipindi una go through hard time ,ndo kipindi ulikupasa kusema Ili umuumbue umu ......haki tungemsema mpaka akaomba poooo
 
Hiki kisa chaukweli kwa ambaye haamini ataamini siku moja ataamini
 
Sidhani kama ni kweli kwa maana kama ni kweli na kama uliamua kuingia kwenye maombi, usingejaribu kuongea maneno hayo kwani sio ya mwanamke mwenye staha na aliyepita kwenye misukosuko kama uliyoandika.
Nafuu yako sema uongo basi wako
 
Back
Top Bottom