Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HurumaHahahaha
Unato 90k halaf unakopa ugali kwa 1.5k? Una haki ya kuonekana zobaHabari zenu wana JF,
Nina mahusiano na bidada mdogo tu ambaye anamiliki mgahawa mdogo tu, lakini unamuingizia pesa si chini ya 20K kwa siku, ni mchapakazi kweli kweli na shughuli zote anazifanya mwenyewe kitu kilichonivutia kuwa naye! Mgahawa wake ndo ulikuwa chanzo cha mimi na yeye kufahamiana kwa sababu lunch huwa naifanyia pale!
Mwanaume anapigwa kila konaPoleni wanaume.
Mkuu Relax alikua mbele ya Shareholder mkubwa.Habari zenu wana JF,
Nina mahusiano na bidada mdogo tu ambaye anamiliki mgahawa mdogo tu, lakini unamuingizia pesa si chini ya 20K kwa siku, ni mchapakazi kweli kweli na shughuli zote anazifanya mwenyewe kitu kilichonivutia kuwa naye! Mgahawa wake ndo
Tatizo mdau nae kaondoka ki-sabato Sanaa, 😂😂😂😂Vipi kama alikuwa anamjaribu kuona rangi halisi ya mwanamke japo wanawake wote ni wa BINAFSI ila huyu shetaniii kazidiii...
Mkuu, nilimpatia jumla jumla, achukue yote asirudishe! Halafu kwenye msosi, sio kwamba nilitaka wa bure, nilimwahidi kumpitishia pesa yake nyakati za jioni!Wewe ulimkopesha yeye kama yeye.. hupaswi kuingiza shoti kwenye biashara kisa umemkopesha yeye binafsi
Mkoa gani huo Mkuu? kama ni huyu bi dadawa hapo yanapopaki maroli ndio michezo yake hiyo.Habari zenu wana JF,
Nina mahusiano na bidada mdogo tu ambaye anamiliki mgahawa mdogo tu, lakini unamuingizia pesa si chini ya 20K kwa siku, ni mchapakazi kweli kweli na shughuli zote anazifanya mwenyewe kitu kilichonivutia kuwa naye! Mgahawa wake ndo ulikuwa chanzo cha mimi na yeye kufahamiana kwa sababu lunch huwa naifanyia pale!
Tumshukuru mama kwa kuwa mpaka sasa nimekwisha mgegeda mara mbili, siku tatu zilizopita aliniomba nimwazime kitita cha Tsh 90k, lakini siku ya jana nimemkabidhi na kumwambia haitaji kunirudishia, achukue jumla, kanishukuru sana bidada wa watu!
Leo saa sita mchana wakati naenda kupata ugali dagaa nikamkuta yuko anaongea sauti ya chini na miondoko ya mwili na macho na mteja mwenye uchebe na kitambi mbinuko! Nikaamua kuchukua seat pembeni, nikamuita, alipofika nikamwambia anikope ugali dagaa wa 1.5k ili jioni nikiwa natoka kazini nimpitishie pesa yake!
Binti kakataa kata eti nisimuharibie biashara yake! Nimetamani kumdai 90k yangu, sema tu utalbani umeniingia, ingawa nimetoka ndani ya huo mgahawa ndani ya dk 3 tu tokea kuingia, nimejikuta nachekwa na wananchi walio kuwa pale nje huku wakilishambulia chuzi la samaki wa kubanikwa, losti lililotengenezwa na yule bidada!
Hapa nilipo nina hasira! Sijui huyu binti nimfanye nini!
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa ni bwege kweli.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umegawa 90000 halafu ukaenda kukopa chakula 1500. Akili yetu iko kwenye suruali
[emoji3][emoji3][emoji3]Una 90 elfu ya kumuhonga lakini huna buku jero ya kulipia chakula. Ukute hata huko kumgegeda ulitoa hela ya kinyonge. Hiyo 90 ilikuwa timing usilipwe tena, bahati nzuri ukajijaza mwenyewe kumwambia asilipe.
Kwa kifupi chukulia kila siku mliokutana kwa hizo mara mbili mliofanyana ilikugharimu 45,000. Sasa Mungu saidia iwe ulisimamia ukucha, ila kama ulipiga show ya kimoko chali basi ndugu umepiga bao ghali sana ambazo ungeweza kuzipata kwa buku 5 tu kila moja kimboka na change ya 80,000 kukuwezesha kula rosti kama waliokuwa wanakula waliokucheka.😀😀