Nilimpatia elfu tisini jana, leo kakataa kunikopesha chakula kwenye mgahawa wake

Na ukijua kwenye list mpo mabwana 8,utajiona hamnazo.
 
[emoji3064][emoji3064]
Kumbe watoto wa kike wanaupiga mwingi!

Ukipata mwanamke Gold digger akakupenda kutoka moyoni, akawa anakuchumia na kukuletea, utaenjoy maisha mpaka basi!
 
A
Mzee baba kwanza iyo ela sahau kama atakurudishia fanya kama umempa iyo uyo bidada hapo sidhani kama anaweza kuwa na bwana mmoja wewe nafikir utakuwa kama wa kumi hivi sema usife moyo pambana urudishe pesa yako alafu mkatae uwe unaenda tu kula kama mteja wa kawaida
Anarudishaje wakati amemwambia amempa hisani. Au apige rivas
 
Wewe jinga, zoba, zumbukuku, kenge, ngedere mara ya mwisho lini umemtumia mama ako ata 50k

Mara ya mwisho lini umeenda town ukafanya kitu kwa ajili yako atabkwa laki moja
Ila unampa mwanamke 90 yote afu unakuja kueleza ulivo boya kwan hujifunzi watu lila siku wananzisha uzi kuhusu hawa viumbe
 
Habari zenu wana JF,

Nina mahusiano na bidada mdogo tu ambaye anamiliki mgahawa mdogo tu, lakini unamuingizia pesa si chini ya 20K kwa siku, ni mchapakazi kweli kweli na shughuli zote anazifanya mwenyewe kitu kilichonivutia kuwa naye! Mgahawa wake ndo ulikuwa chanzo cha mimi na yeye kufahamiana kwa sababu lunch huwa naifanyia pale!

Tumshukuru mama kwa kuwa mpaka sasa nimekwisha mgegeda mara mbili, siku tatu zilizopita aliniomba nimwazime kitita cha Tsh 90k, lakini siku ya jana nimemkabidhi na kumwambia haitaji kunirudishia, achukue jumla, kanishukuru sana bidada wa watu!

Leo saa sita mchana wakati naenda kupata ugali dagaa nikamkuta yuko anaongea sauti ya chini na miondoko ya mwili na macho na mteja mwenye uchebe na kitambi mbinuko! Nikaamua kuchukua seat pembeni, nikamuita, alipofika nikamwambia anikope ugali dagaa wa 1.5k ili jioni nikiwa natoka kazini nimpitishie pesa yake!

Binti kakataa kata eti nisimuharibie biashara yake! Nimetamani kumdai 90k yangu, sema tu utalbani umeniingia, ingawa nimetoka ndani ya huo mgahawa ndani ya dk 3 tu tokea kuingia, nimejikuta nachekwa na wananchi walio kuwa pale nje huku wakilishambulia chuzi la samaki wa kubanikwa, losti lililotengenezwa na yule bidada!

Hapa nilipo nina hasira! Sijui huyu binti nimfanye nini!
Pole mkuu
Wakati wa uchakataji ulikuwa unalipia tozo?
 
Business is a separate entity from the owner,ww ni nani basi ktk biashara yake!?[emoji23]
 
Akili matope hii

ulimwachia 90k ili umvuruge, jiongeze kijana yaani unashindwa vipi kuwa na buku jero mfukoni?
 
Business is a separate entity from the owner,ww ni nani basi ktk biashara yake!?[emoji23]
Duh!
Lakini si nilimuahidi kumpatia pesa yake jioni?
Hata kama tukiondoa issue ya mapenzi, haki yangu ya kukopeshwa msosi ingelibaki palepale kama mteja mzoefu wa mgahawa huo!

Kweli wanawake hamna dogo!

Sasa hivi na assume kuwa pesa yangu nimempatia mtu asiyejiweza, hivyo nimetoa sadaka!
 
Kumbe wakati unampa ulitegemea return [emoji23] !sio kwa dunia ya sasa hii iwe funzo kwkao .

Hata hivyo binti mbinafsi sana huyo.
 
Malipo ya hisani yako ni zinaa mliofanya, usimuharibie biashara mwenzako, pia inaonekana humridhishi kitandani, laiti ungekuwa unawajibika vzuri kitandani sio tu kku kopsha bali angekuletea parcel ofisni.
 
Hakupaswa kukunyima msosi wa buku jero tu ! Kazingua sana na achana nae! Siku atakuitia majamaa yake yakudunde
 
Kanuni za biashara ni kutochanganya mapenzi na biashara kila kitu kinajitegemea chenyewee
Habari zenu wana JF,

Nina mahusiano na bidada mdogo tu ambaye anamiliki mgahawa mdogo tu, lakini unamuingizia pesa si chini ya 20K kwa siku, ni mchapakazi kweli kweli na shughuli zote anazifanya mwenyewe kitu kilichonivutia kuwa naye! Mgahawa wake ndo ulikuwa chanzo cha mimi na yeye kufahamiana kwa sababu lunch huwa naifanyia pale!

Tumshukuru mama kwa kuwa mpaka sasa nimekwisha mgegeda mara mbili, siku tatu zilizopita aliniomba nimwazime kitita cha Tsh 90k, lakini siku ya jana nimemkabidhi na kumwambia haitaji kunirudishia, achukue jumla, kanishukuru sana bidada wa watu!

Leo saa sita mchana wakati naenda kupata ugali dagaa nikamkuta yuko anaongea sauti ya chini na miondoko ya mwili na macho na mteja mwenye uchebe na kitambi mbinuko! Nikaamua kuchukua seat pembeni, nikamuita, alipofika nikamwambia anikope ugali dagaa wa 1.5k ili jioni nikiwa natoka kazini nimpitishie pesa yake!

Binti kakataa kata eti nisimuharibie biashara yake! Nimetamani kumdai 90k yangu, sema tu utalbani umeniingia, ingawa nimetoka ndani ya huo mgahawa ndani ya dk 3 tu tokea kuingia, nimejikuta nachekwa na wananchi walio kuwa pale nje huku wakilishambulia chuzi la samaki wa kubanikwa, losti lililotengenezwa na yule bidada!

Hapa nilipo nina hasira! Sijui huyu binti nimfanye nini!
 
Malipo ya hisani yako ni zinaa mliofanya, usimuharibie biashara mwenzako, pia inaonekana humridhishi kitandani, laiti ungekuwa unawajibika vzuri kitandani sio tu kku kopsha bali angekuletea parcel ofisni.
[emoji23][emoji23]
Wanawake wa siku hizi hata uwe unamfikisha kileleni kisha unamrusha juu ya mawingu hawezi kukupa moyo wake mazima!

Kuna binti nilikuwa nafanya nae mapenzi kama tuko vitani, sarakasi kwa sana! uvunguni mwa kitanda, kwenye diaba ambalo halina maji, yaani full vurugu vurugu! Hadi nikapasua tv, tulikuwa tunatafutana kwenye simu tunaulizana, "leo mkesha au?" kisha tunakutana gheto!

Ila wapi! Bado alinisaliti licha ya huu mkuyenge mnene nilionao!
 
Back
Top Bottom