Nilimpatia elfu tisini jana, leo kakataa kunikopesha chakula kwenye mgahawa wake

Nilimpatia elfu tisini jana, leo kakataa kunikopesha chakula kwenye mgahawa wake

man biznes ndio Unataka kutwambiahe wanawake???[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Yupo sahihi huyo binti

Biashara haikujui wewe.

Ila yeye anakujua wewe.

Wewe ulimkopesha yeye kama yeye.. hupaswi kuingiza shoti kwenye biashara kisa umemkopesha yeye binafsi
Hapana ni mbinafsi, mchoyo na hampendi mwenzie huyo dada.
 
Wakati unampatia pesa ungemwambia unalipia chakula in Advance cha elfu tisini aandike kwenye daftari.

Kwa sasa chukulia kama shule na umelipia ada ya elfu tisini kupata mafunzo kwa vitendo.
 
Back
Top Bottom