loxodonto
Member
- Jul 7, 2022
- 72
- 132
Noma sana, unanikumbusha Kweka kijenge primaryKuna mwalimu shule ya msingi sanawari primary iliyopo arusha,alikuwa anaitwa mdee huyo teacher alikuwa sio powah jamaa ana chapa mpaka viungo vinakufa ganzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana, unanikumbusha Kweka kijenge primaryKuna mwalimu shule ya msingi sanawari primary iliyopo arusha,alikuwa anaitwa mdee huyo teacher alikuwa sio powah jamaa ana chapa mpaka viungo vinakufa ganzi
Hiyo mwalimu kwekwa namjua vinzuri,alikuwa mnene sanaNoma sana, unanikumbusha Kweka kijenge primary
Ujana maji ya fireSema akili za uanafunzi na utoto ni za kijinga sana ingawa baadae kuna majuto makubwa.
Nakumbuka shule ya Msingi tulikuwa na Mwanafunzi Mwenzetu anaitwa Charles "Mapua", alikuwa amejaaliwa pua kusawasawa, Jamaa lilikuwa likubwa nadhani alichelewa kuanza shule...kuna siku Ticha alitaka kumuadhibu Jamaa akagoma...ile Mwalimu anamlazimisha akamsukuma Mwalimu akaanguka, Mwalimu kainuka Jamaa akamchimba biti "nichape uone", kwa bahati Ticha aliingia baridi akaufyata, akimuangalia Jamaa bonge la Mtu jeusiii...Jamaa likaondoka...Jamaa alisimamishwa shule ingawa hata hivyo hakuwa Mtu anayejali sana masomo...ila shuleni ikabaki bonge la gumzo.
...Ongeza Sukari ! [emoji57][emoji57]Hii kweli nililifanya, nikiwa o level kipindi hicho wanafunzi wa shule hiyo, iliyopo Arusha chini waliogopeka kwa uhuni, uvutaji bangi, wizi, hiyo shule ina O level na A level.
Kipindi nikiwa form 3, nilikuwa na vuta bangi mfano hakuna, nikisha vuta bangi naingia gheto napiga msuli kinoma, darasani zilikuwa zinachoma matokeo sikosi top ten hata siku moja, lakini mvutaji bangi mzuri.
Nilianza mafunzo ya taekwondo nikiwa na miaka 12, kwa teacher Abuu Kaloleni Arusha, nakumbuka tulipewa mafunzo na nako 2 nako pamoja na junior nako, kipindi hicho Arusha iliogopeka kwa uhuni.
Mtaani waliniita Damme, maana nilikuwa napiga mateke, hakuna mjinga yeyote alinitania wala kunidharau heshima ilikuwa debe sio kwa wahuni mpaka raia wote.
Kipindi nikiwa form 3, nilikuwa na maisha ya kihuni sana, nakumbuka siku hiyo niliyomtandika mwalimu ilikuwa hivi.
Kuna teacher wa English alikuwa na tabia ya kuendelea kufundisha hata kama kengele imelia bado ataendelea kufundisha kwa dakika 20 mbele, jambo hilo liliwafanya wanafunzi wamchukie, walimpa jina la mkaba penati.
Teacher mwenyewe ndio alikuwa ametoka chuo kwa hiyo alikuwa na munkari na kazi yake, kwa sisi wanafunzi tuliona uzushi tu
Ilikuwa ijumaa kipindi cha mwisho kilikuwa english, na kilikuwa kipindi cha mkaba penati. Muda wa kipindi uliisha, teacher akaendelea kufundisha, nilikuwa na ahadi na demu wangu tukabanduane na kuvuta bangi, demu alinipa ahadi nikitoka shule nika mpitie kwao maana palikuwa sio mbali na kwetu.
Nilivumilia kwa dakika 10, teacher hana hata dalili za kutoka darasani, kwanza ndio anafuta ubao aanze kuandika notice, akisha maliza aweke na homework, nikicheki muda saa zinaenda sana halafu ninaugwadu kinoma.
Nikasema usinitanie, nikachukua begi langu, darasa kimya teacher yupo ubaoni anaandika notice, hapo kengele ilishalia kitambo kama dakika kumi na tano zilizopita nyuma.
Nikampita teacher,
Teacher: Unaenda wapi,
Mimi: Naenda home,
Teacher: Unioni bado nipo darasani
Mimi: Muda umeshaisha
Teacher: Rudi kakae
Mimi: Muda umeshaisha usinizingue
Teacher alikuja akanikaba shingoni, nikimcheki tunalingana mrefu sema yeye kanipita miaka kadhaa, halafu katoka chuo bado mgeni, akanitandika kofi moja la haja mpaka masikio yakalia nziiiiiii.
Nikalivumilia, ile anajiandaa kunipiga lingine nikamsogelea nikamtandika kichwa kimoja cha maana, teacher akaanguka chini kama mzigo, wanafunzi wenzangu oooooh.
Teacher kaamka kwa wenge, ananifuata kwa hasira kapanic huku midamu inamtoka mdomoni na puani, nikamtandika stop kick ya kifua teacher akanguka kwenye meza ilikuwa mbele ya darasa.
Akaamka akachukua mbao ya kuchorea mstari kwenye ubao ananifuata kwa hasira kama kanifumania na demu wake. Nika mpiga jumping ushiro teacher chini kazirai, wanafunzi wenzangu si wakaanza kupiga kelele ameua! ameua! ameua!
Nikatoka nduki kuelekea nnje ya shule, ile nafika kwenye geti lakutokea nnje ya shule limefungwa nikaduwaa miguu yote nguvu hakuna tena, walinzi wakaja wakanikamata.
Itaendelea...
Muendelezo soma Nilimpiga mwalimu akahama shule
Mdo tatizo letu watanzania kila kitu kwenu uongo,na uongo ni ukweli...Ongeza Sukari ! [emoji57][emoji57]
Sio chaiMdo tatizo letu watanzania kila kitu kwenu uongo,na uongo ni ukweli
KomaaOvyo kabisa
Makato wwKomaa
Kwahiyo wewe ni TISS mkuu doh....Jifunze lugha tena,unamix grammer mimi sio mjeshi wala sio police,ni zaidi ya hapo kazi yangu hainiruhusu kuitaja hapa maana haita kusaidia,wewe kaa kujua mimi ndo nakufanya uishi kwa amani ili uandike hicho kingereza chako cha o level,watu tunajua lugha zaidi ya3 ila hatupendi kujionyesha.
Eres estupido??
Amo este trabajo y volveria a hacerlo to do nuevo si tuviese que hacerlo parque
Esta es mi seguridad nacional.View attachment 2406446View attachment 2406446
Hakuna TISS mpumbavu na mjinga kama hiyo kenge hapo juuKwahiyo wewe ni TISS mkuu doh....
TISS ya siku hizi imekosa ueledi
Usipende kutukana watu ovyo,unaweza ukajiona upo okay kwakuwa huko online hujulikani,ila nikitaka kukupata wewe simalizi masaa 15 nakupata,jaribu kuset mind yako usiwe unamwili mkubwa lakini akili kisude,mimi nilichokiandika hapa ni uzi wangu wewe ulipaswa kusoma au kupuuzia,ila matusi ya nini I??kila binadamu anazaliwa tofauti hayo niliyoandika yalikuwa mapito ya kunijenga ili nifike hapa nilipo maana MUNGU alikuwa ananiandaa,sasa wewe unashindwa kufikiri unatukana ovyo,ili ni tatizo kwa jamii yetu kupuuzia na kuchukulia mambo juu juu,bwana mdogo jiheshimu sio kila mtu anatukanwa,au kwakuwa unatumia fake id ndo ujulikani??be care fullyHakuna TISS mpumbavu na mjinga kama hiyo kenge hapo juu
Unajuwa unachanganya mambo,MUNGU kaumba binadamu tofauti tofauti na kila mmoja ana mapito yake hapa,ni vyema kuwa na busaraKwahiyo wewe ni TISS mkuu doh....
TISS ya siku hizi imekosa ueledi
Kweli binadamu tupo tofauti sana,sawa nitaendeleza mkuuAchana na hao wenye jealous mwamba we lete mastory tupate ideas ,dunian ni shule ambayo kila mtu anapaswa ajifunze.
Ushaur usijib kila mtu hapa jukwaan wewe timiza lengo la kufikisha kwa jamii kwa namna ilivyokupendeza ,Kuna wengi watajifunza kitu hapa.
🙏🙏Achana na hao wenye jealous mwamba we lete mastory tupate ideas ,dunian ni shule ambayo kila mtu anapaswa ajifunze.
Ushaur usijib kila mtu hapa jukwaan wewe timiza lengo la kufikisha kwa jamii kwa namna ilivyokupendeza ,Kuna wengi watajifunza kitu hapa.
Kawatishe wapumbavu wenzio unajisifia ujinga hapaUsipende kutukana watu ovyo,unaweza ukajiona upo okay kwakuwa huko online hujulikani,ila nikitaka kukupata wewe simalizi masaa 15 nakupata,jaribu kuset mind yako usiwe unamwili mkubwa lakini akili kisude,mimi nilichokiandika hapa ni uzi wangu wewe ulipaswa kusoma au kupuuzia,ila matusi ya nini I??kila binadamu anazaliwa tofauti hayo niliyoandika yalikuwa mapito ya kunijenga ili nifike hapa nilipo maana MUNGU alikuwa ananiandaa,sasa wewe unashindwa kufikiri unatukana ovyo,ili ni tatizo kwa jamii yetu kupuuzia na kuchukulia mambo juu juu,bwana mdogo jiheshimu sio kila mtu anatukanwa,au kwakuwa unatumia fake id ndo ujulikani??be care fully