Nilimpiga Mwalimu akahama shule

Nilimpiga Mwalimu akahama shule

Mzee mpaka hapo ulisoma Edmund rice sinon secondary school,

Hii ndio shule inaongoza kwa wanafunzi waliopinda hapo Arusha.
Hapo kijijini kuna mapusha kama wote.

Mabruda wa kikatoliki wako kama wote na hao wa sinon asil yao Australia e.g frank oshea,brother bill.

Ni asili ya hapo Edmund hua wanatoa wafadhili kwa wanafunzi wenye mazingira magumu.

Bisha?
 
Daah kweli mkuu,wewe ulisoma kipindi cha Frank??hivi unamjua bill
 
Sio tu kumjua alikua rafiki yangu,alinipa mpaka baiskeli ya gear,wakati zile walikua wanapewa wale waliokua wanafaulu sana.

Mimi nilimaliza kipindi cha kina tini na kina chief cooker..

Sisi ndio tulikua manunda tumepanga mtaani,
Kabla ya kumaliza paper side na tini walikosa kosa kuchomana beto...

Mimi nime.to.mba. mtoto wa second mastar mr. Bashaija.
Walikua wawili sasa hapo kokotoa ni yupi.
 
Sema nafsi yangu inanisuta na nina deni sijui nitalipaje...

Kipindi namaliza form four,mimi nilikua ni moja kati ya manunda ninaogopeka mpaka na A-level.
Ni katili lakini sikua sikumbuki fadhila.

Nilisuswa na wazaz na ndugu wote, graduation yangu sikutembelewa na mtu wala siku-nunuliwa shati ama viatu vipya...

Kuna jamaa wa A-level alikua ananikubal sana pia alikua ananiogopa, baada ya ku-bounce kona zote,alinipa viatu vyake nivae kwenye graduu kwa upendo tuu,dah ila sikuwahi kuvurudisha wala hata sikumshukuru, wakati yeye ndio alikua msaada baada ya watu wote kunikataa.

Hata sikumbuki nilivitupa wapi ila sikuvirejesha..
Huwa nakumbuka na roho inaniuma mana alikua ndio anavitumia shule.

Sina namna ya kumlipa na simkumbuki hata jina zaidi ya sura.
 
Miaka gani
 
Milima haikutani ila.binadamu wanakutana,ipo siku mtaonana
 
Sio tu kumjua alikua rafiki yangu,alinipa mpaka baiskeli ya gear,wakati zile walikua wanapewa wale waliokua wanafaulu sana.

Mimi nilimaliza kipindi cha kina tini na kina chief cooker..

Sisi ndio tulikua manunda tumepanga mtaani,
Kabla ya kumaliza paper side na tini walikosa kosa kuchomana beto...

Mimi nime.to.mba. mtoto wa second mastar mr. Bashaija.
Walikua wawili sasa hapo kokotoa ni yupi.
Ulinimaliza O LEVEL miaka.gani
 
Usisahau kuniletea bagia
20220327_152844.jpg
 
Back
Top Bottom