Nilimpiga Mwalimu akahama shule

Fido vato naona bado anaendeleza mazoezi tizi kali. Ndiyo inatakiwa hivyo safi sana. Nasilkiliza album yake hapa Ololoo
 
Miaka fulani hivi around 2012 niliishi kwenye nyumba ya kupanga na mmoja wa wapangaji wenzangu alikua Teacher.

Siku Moja alirudi home kavimbavimba uso, nikamuuliza Teacher vipi kulikoni..akanijibi we acha tu nimechezea kichapo heavy kutoka kwa wanafunzi.

Nilicheka sana nikasema hii kazi ina mateso huku na huku [emoji3]
 
Mtafute myamalize kiume. Hiyo kazi yao kiroho sijui imekaaje ila mara nyingi karma huwatetea sana na unaweza ukakosa mwisho mwema. Chukua hii mkuu au nicheki DM
 
Mhhh
 
Wewe ni mwalimu ndo maana unaonekana kukekwa na mwalimu mwenzako kuchezea kung fu.

Walimu hawajitambui ndo maana hata miongozo na waraka wa elimu kama muongozo wao wa kazi hawaujui.
 
Umenena, kila mtu ana upande wake wa ovyo. Hakuna Mt. hata mmoja.
 
Wewe ni mwalimu ndo maana unaonekana kukekwa na mwalimu mwenzako kuchezea kung fu.

Walimu hawajitambui ndo maana hata miongozo na waraka wa elimu kama muongozo wao wa kazi hawaujui.
mimi sio mwalimu, pamoja na kwamba ni sensei wa shotokan karate. sishabikii kupiga waalimu pamoja na kwamba wana mapungufu mengi sana yanayokera.
 
Mkuu wanamapungufu mengi sana yanayokera

Duh aseee
mimi sio mwalimu, pamoja na kwamba ni sensei wa shotokan karate. sishabikii kupiga waalimu pamoja na kwamba wana mapungufu mengi sana yanayokera.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti aliliwa kiboga [emoji1787]
 
Hii story ya huyu jamaa aliekuwa anajiita Damme kumbe haikuendelea mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…