Nilimpiga Mwalimu akahama shule

Nilimpiga Mwalimu akahama shule

Alfu huyu kijan Ni wa jus jus tu hapa tumpuze alfu eti unataka mtu huyu akapite law school Tanzania HV HV .walimu kazeni. Sana Kama upuuzi ndioo huu
 
Msamaha wa nini kuna walimu wasengerema sana..kuna mmoja alinilamba stiki za uonevu ambazo hata sikustahili....sijui yuko wapi mbwa yule..siku ni kujua alipo natamfanya kitu mbaya mbwa yule akafie mbali.

#MaendeleoHayanaChama
Mimi nilimpaniaga mwalimu mmoja nilimvizia njia anayotumiaga kwenda shuleni ili nimpige na jiwe kichwani halafu nikimbie nisionekane ila bahati yake nilichelewa kufika main point, Mwalimu mwenyewe alikuwa Mwanajeshi
 
Itaendeleaaaa..
Inaendelea......

Niliishia pale walinzi waliponikamata, wakaniweka chini ya ulinzi...

Nilipokuwa pale chini ya ulinzi, ndio ilikuwa muda wa wanafunzi kwenda nyumbani, ilikuwa assembly wanafunzi wote wa shule wapo..

Academic master alipomaliza kuongea na wanafunzi, akanifuata huku ameshika fimbo kama la kuua nyoka, akaniambia simama, Academic alinichapa kinoma, yani fimbo yote ikavunjika, halafu Academic alikuwa mjeshi..

Fimbo ilipovunjika akaanza kunitandika makofi, nilikula makofi na mitama, kama ningekuwa sina mazoezi ningekuumia sana, maana makofi mengine niliyablock, sema sikutaka kumrudishia maana ningeharibu zaidi..

Nilipigwa mpaka wakaingilia wale walinzi walionishika, wakaniamua wakanipeleka kwa head master.

Nikapewa suspension ya week 2, nilipoenda nyumbani mzazi alikuwa kashapigiwa simu kutoka shule,kuwa nimempiga mwalimu akazimia.

Nilipofika nyumbani baba alinipokea kwa ngumi, mpaka mama akawa anapiga ukunga uwiiii uwiiii, ndio wakaja ndugu wakaamua huku mimi sura imezimba hatari..

Niliuguzwa siku nne, bila kutoka nnje, nilikuwa nakula kwa shida maana mdomo ulivimba sana..

Suspension ilipoisha nilienda shule na baba, akaonge na head master kwa mda mrefu mpaka nikasamehewa ila nikapewa masharti mawili..

Sharti la kwanza nikubali kuwa kaka mkuu wa shule...

Sharti la pili nipambame na wanafunzi wote wahuni, wavuta bangi, yote hayo nilikubali.

Sasa kazi ikaanza kama kaka mkuu wa shule, huku ndio kuna kimbembe hatari..

Itaendeleeea....

Muendelezo soma Nilimpiga mwalimu akahama shule
 
I naendelea......

Niliishia pale walinzi waliponikamata,wakaniweka chini ya ulinzi...

Nilipokuwa pale chini ya ulinzi,ndo ilikuwa mda wa wanafunzi kwenda nyumbani,ilikuwa assembly wanafunzi wote wa shule wapo..

Academic master alipomaliza kuongea na wanafunzi,akanifuata huku ameshika fimbo kama la kuua nyoka,akaniambia simama,Academic alinichapa kinoma,yani fimbo yote ikavunjika,alafu Academic alikuwa mjeshi..

Fimbo ilipovunjika akaanza kunitandika makofi,nilikula makofi na mitama,kama ningekuwa sina mazoezi ningekuumia sana,maana makofi mengine niliyablock,sema sikutaka kumrudishia maana ningeharibu zaidi..

Nilipigwa mpaka wakaingilia wale walinzi walionishika,wakaniamua wakanipeleka kwa head master.
Nikapewa suspension ya week 2,nilipoenda nyumbani mzazi alikuwa kashapigiwa simu kutoka shule,kuwa nimempiga mwalimu akazimia.

Nilipofika nyumbani baba alinipokea kwa ngumi,mpaka mama akawa anapiga ukunga uwiiii uwiiii,ndo wakaja ndugu wakaamua huku mimi sura imezimba hatari..
Niliuguzwa siku nne,bila kutoka nnje,nilikuwa nakula kwa shida maana mdomo ulivimba sana..
Suspension ilipoisha nilienda shule na baba,akaonge na head master kwa mda mrefu mpaka nikasamehewa ila nikapewa masharti mawili..
Sharti la kwanza nikubali kuwa kaka mkuu wa shule...
Sharti la pili nipambame na wanafunzi wote wahuni,wavuta bangi,yote hayo nilikubali.
Sasa kazi ikaanza kama kaka mkuu wa shule,huku ndo kuna kimbembe hatari..
Itaendeleeea....
Mkuu kwa hiyo before hili tukio lako kulikua hakuna kaka mkuu wa shule?
 
Back
Top Bottom