Nilimpiga Mwalimu akahama shule

Nilimpiga Mwalimu akahama shule

Kumbe nitabia za huko. ..nilisoma na jamaa mmoja yeye alitokea huko AR pia. ..alikua anakula jani balaa tena vibaya mno. ..alikua anafaulu sn math nahakua anapenda kuingia darasani. ..mdogo wake alikua anachimba madini hivyo alikua anamtumia hela kila mwezi. .humkuti kantini kabisa...
 
Alafu hakunaga muhuni asiyekuwa na akili,hata ukiangalia pisi kali wote wanatembea na wahuni
 
Inaendelea....

Baada ya kuwa kaka mkuu wa shule,changamoto ilianza sasa,wanafunzi niliokuwa na vuta nao bangi wakaniona shushushu,wakatengeneza bifu kwa kuwa nilipokuwa nawakuta wanavuta bangi,walichezea makofi,machimbo yanayouza bangi pembeni ya shule nilikuwa nayafahanu..

Nilitengeneza bifu sana kwa wanafunzi wahuni,nakumbuka siku moja tulienda picnic mlima meru kwenye ile falls ya maji,ilikuwa ni tabia ya wanafunzi wa arusha kwenda picnic mlima meru,duluti,mlima tembo(ngaramtoni),kuna club ilikuwaga usa River tulikuwa tunaikodisha kila jumamosi,tunaenda kula bata huko tulikutana wanafunzi wakila shule arusha,wahuni,wapole,kipindi hicho bia ya banana ilikuwa imeingia,ukitoa buku unapewa tatu yani hizo tatu ukizimaliza umelewa hatari...

Sasa tukiwa kwenye ile miteremko ya kuelekea kwenye falls,nikiwa mimi na mshikaji wangu ambae tulikuwa marafiki sana,mazoezi ya taekwondo tunapiga wote wawili daily.

Ghafla kundi la vijana wahuni wasiopungua 9,walituzunguka,nikiwa mimi na msela wangu tuliwekwa kati.

Oya wewe ndo unajifanya komando wa shule,unapeleka siri zetu kwa walimu,unatufanya sasa hivi atuvuti bangi kwa amani??sasa leo atoki mtu huku,hata uwe fiti vipi lazima tukukomeshe,aliongea jamaa mmoja akiwa ameshika pisi la gogo..

Samahani wakuu,nitakuwa nawapa muendelezo hivyo hivyo maana sipati chance nzuri yakuandika vinzuri,tusamehane
Inaendeleeea......

Yule jamaa aliongea akiwa na hasira sana, huku akiwa ameshika pisi la gogo, nikajisemea moyoni 'leo litakufa jitu', ghafla nikapigwa na lile gogo la kifua mpaka chini..

Nikiwa na ugulia maumivu akaja jamaa mwingine akanipiga teke la tumbo, alinipa hasira nilikurupuka najiwe mkononi, nilimtandika mshikaji mmoja la kifua mpaka chini, ile wanatahamaki aliyekuwa mbele yangu nilimpiga ''rear leg front kick''wapembeni nikageuka na ''tornado kick'', wengine walipoona wenzao wapo chini walikimbia, nilimfuata yule jamaa aliyenipiga jiwe akiwa anasimama nikampiga ''wing chun punch ''za kifua mpaka akatapika damu, msela angu alimkimbilia mmoja aliyekimbia akampiga mtama mpaka chini.

Mwingine nilichoandika hapa anaweza ona ni utani, au najisifia siko hivyo, yote ni mazoezi nayopiga kila siku, yanayonifanya nijiamini ninapokuwa popote,hapa nimeweka video ya jinsi ya kupiga mateke tofauti tofauti, ukitaka nikufundishe mwenyewe nipo Arusha kwa sasa.
 
Hii kweli nililifanya, nikiwa o level kipindi hicho wanafunzi wa shule hiyo, iliyopo Arusha chini waliogopeka kwa uhuni, uvutaji bangi, uwizi, hiyo shule ina O level na A level.

Kipindi nikiwa form 3, nilikuwa na vuta bangi mfano hakuna, nikisha vuta bangi naingia gheto napiga msuli kinoma, darasani zilikuwa zinachoma matokeo sikosi top ten hata siku moja, lakini mvutaji bangi mnzuri.

Nilianza mafunzo ya taekwondo nikiwa na miaka 12, kwa teacher abuu kaloleni Arusha, nakumbuka tulipewa mafunzo na nako 2 nako pamoja na junior nako, kipindi hicho Arusha iliogopeka kwa uhuni.

Mtaani waliniita damme,maana nilikuwa napiga mateke, hakuna mjinga yeyote alinitania wala kunidharau heshima ilikuwa debe sio kwa wahuni mpaka raia wote.

Kipindi nikiwa form 3, nilikuwa na maisha ya kihuni sana, nakumbuka siku hiyo niliyomtandika nwalimu ilikuwa hivi.

Kuna teacher wa English alikuwa na tabia ya kuendelea kufundisha hata kama kengele imelia bado ataendelea kufundisha kwa dakika 20 mbele, jambo hilo liliwafanya wanafunzi wamchukie, walimpa jina la mkaba penati.

Teacher mwenyewe ndo alikuwa ametoka chuo kwa hiyo alikuwa na mukari na kazi yake, kwa sisi wanafunzi tuliona uzushi tu

Ilikuwa ijumaa kipindi cha mwisho kilikuwa english, na kilikuwa kipindi cha mkaba penati. Muda wa kipindi uliisha, teacher akaendelea kufundisha, nilikuwa na ahadi na demu wangu tukabanduane na kuvuta bangi, demu alinipa ahadi nikitoka shule nika mpitie kwao maana palikuwa sio mbali na kwetu.

Nilivumilia kwa dakika 10, teacher hana hata dalili za kutoka darasani, kwanza ndo anafuta ubao aanze kuandika notice, akisha maliza aweke na homework, nikicheki mda saa zinaenda sana alafu ninaugwadu kinoma.

Nikasema usinitanie, nikachukua begi langu, darasa kimya teacher yupo ubaoni anaandika notice, hapo kengele ilishalia kitambo kama dakika kumi na tano zilizopita nyuma.

Nikampita teacher,
Teacher: Unaenda wapi,
Mimi: Naenda home,
Teacher: Unioni bado nipo darasani
Mimi: Muda umeshaisha
Teacher: Rudi kakae
Mimi: Mdua umeshaisha usinizingue

Teacher alikuja akanikaba shingoni, nikimcheki tunalingana mrefu sema yeye kanipita miaka kadhaa, alafu katoka chuo bado moya,akanitandika kofi moja la haja mpaka masikio yakalia nziiiiiii.

Nikalivumilia,ile anajiandaa kunipiga lingine nikamsogelea nikamtandika kichwa kimoja cha maana, teacher akaanguka chini kama mzigo, wanafunzi wenzangu oooooh.

Teacher kahamka kwa wenge, ananifuata kwa hasira kapanic huku midamu inamtoka mdomoni na puani, nikamtandika stop kick ya kifua teacher akanguka kwenye meza ilikuwa mbele ya darasa.

Akahamka akachukua mbao ya kuchorea msitari kwenye ubao ananifuata kwa hasira kama kanifumania na demu wake. Nika mpiga jumping ushiro teacher chini kazirau, wanafunzi wenzangu si wakaanza kupiga kelele ameua ameua ameua.

Nikatoka nduki kuelekea nnje ya shule, ile nafika kwenye geti lakutokea nnje ya shule limefungwa nikaduwaa miguu yote nguvu hakuna tena, walinzi wakaja wakanikamata.

Itaendelea...
Kipindi cha ujana,usipokuwa makini kinaweza kukupptezea dira
yote ya maisha
 
Yani asilimia kubwa form 3 ndo hua wanaanza kujifunza misumali......Mim kuna ticha ety alimtongoza rfk angu kamkataa tukala pesa zake ety akatangaza vita na mim me nkamwambia ww ni mkubwa lkn vita na mim uwez.
Ticha kaja class kanipa swali la Physics form two nikafanya vzuri nkaweza, akanipa tena swali la kuchora preparation ya oxy from hyro peroxide......eh bana si nkachora nkasahau kulabel manganese dioxide eeeh ticha akasema ujalabel hapa nkamwambia nmesahau tu kwa sabb muda umenipa mdg na me sio mzuri kweny kuchora chora akasema ety adhabu kubeba ndoo kumi za mchanga na kufagia ofisini ya walimu week nzima nkamwambia mie ni kiongoz siruhusiwi kufanya Kazi yyte zaid ya kutoa dawa kwa wagonjwa na kuhakikisha wanapatiwa huduma ya kwanza.......Ety unanijibu dharau mim nkukute administration block nkamwambia haina noma Edson.
Kwanza nkaingizwa kwa Second master, na displine master Alf second master mwenyewe alikua ananitokea........
Kuingia nikaaanza kujiliza ilivofika zamu yangu ya kujielezea nkasema kila kitu hadi alivomtongoza rfk angu na alivonitangazia vita.......Mim nliambiwa kesi yangu imeisha wakabaki na huyo ticha sijui aliliwa kiboga maan alitoka kachomoa shati
[emoji28][emoji28][emoji28] nimekupenda bure.
Vipi master alikula mzigo??

#MaendeleoHayanaChama
 
Ningeozea jela
Malizia story kwanza wanyumbani
Hahaha alafu watu wengine wanafikiri ni chai
Watoto wa arusha unatakiwa u deal nao kwa hekima sana.
Yaani ile anakua tu ajaanza shule tayari mbabe.
Ushaonaga mtoto wa chekechea naambiwa amuite mzazi?
Hii ipo chuga.
All in all hamna sababu yoyote ya kujustfy kumpiga mtu yoyote bila sababu yoyote.
Mwalimu hakutakiwa kukupiga makofi.hata kama uliamua kukatika darasani,
Namba mbili hutakiwi kuongeza hata sekunde kengele ya break inapolia kibongo bongo wanaona sawa ila mbele watoto wanabeba mabegi wanaamsha.

Kisheria inatakiwa fimbo.sio makofi.
Walimu hilo mkalitazame.
Naona hamjaliangalia hilo hapo.
Alitakiwa amuache dogo aomdoke alafu yeye aamue taratibu zinazofuata.
 
Mkuu,watoto wa chugah wajanja sana,nina mjomba angu yupo darasa la kwanza yani bibi yake ambaye ni mama yangu wanaishi wote home,bibi ni mfanyabiashara soko kuu arusha,mother anaondoka asubuhi kwenye mbishe zake anamuacha mjomba angu huyo wa darasa la kwanza,mwenyewe home basi dogo anafanya kazi zote home,akishamaliza anaenda shule hapo ajui cha mama wala baba anajielewa sana,sasa umri huo kwa mtoto wa dasalade hata kujishughulikia mwenyewe hajui
 
Yani asilimia kubwa form 3 ndo hua wanaanza kujifunza misumali......Mim kuna ticha ety alimtongoza rfk angu kamkataa tukala pesa zake ety akatangaza vita na mim me nkamwambia ww ni mkubwa lkn vita na mim uwez.
Ticha kaja class kanipa swali la Physics form two nikafanya vzuri nkaweza, akanipa tena swali la kuchora preparation ya oxy from hyro peroxide......eh bana si nkachora nkasahau kulabel manganese dioxide eeeh ticha akasema ujalabel hapa nkamwambia nmesahau tu kwa sabb muda umenipa mdg na me sio mzuri kweny kuchora chora akasema ety adhabu kubeba ndoo kumi za mchanga na kufagia ofisini ya walimu week nzima nkamwambia mie ni kiongoz siruhusiwi kufanya Kazi yyte zaid ya kutoa dawa kwa wagonjwa na kuhakikisha wanapatiwa huduma ya kwanza.......Ety unanijibu dharau mim nkukute administration block nkamwambia haina noma Edson.
Kwanza nkaingizwa kwa Second master, na displine master Alf second master mwenyewe alikua ananitokea........
Kuingia nikaaanza kujiliza ilivofika zamu yangu ya kujielezea nkasema kila kitu hadi alivomtongoza rfk angu na alivonitangazia vita.......Mim nliambiwa kesi yangu imeisha wakabaki na huyo ticha sijui aliliwa kiboga maan alitoka kachomoa shati
Unaonekana pisikali
 
Nikikutana na comments kama hizi moja kwa moja wewe bwabwa,asilimia kubwa ya mashoga wanamipasho kama wa dada
Punguza kuvuta bangi, itakusaidia kuacha kupost mambo ya kipumbavu. Nina hakika 100 % maisha yamekupiga, mtu ambaye ametusua kimaisha kwanza hawezi kuhangaika kuripoti ujinga.
 
Yani asilimia kubwa form 3 ndo hua wanaanza kujifunza misumali......Mim kuna ticha ety alimtongoza rfk angu kamkataa tukala pesa zake ety akatangaza vita na mim me nkamwambia ww ni mkubwa lkn vita na mim uwez.
Ticha kaja class kanipa swali la Physics form two nikafanya vzuri nkaweza, akanipa tena swali la kuchora preparation ya oxy from hyro peroxide......eh bana si nkachora nkasahau kulabel manganese dioxide eeeh ticha akasema ujalabel hapa nkamwambia nmesahau tu kwa sabb muda umenipa mdg na me sio mzuri kweny kuchora chora akasema ety adhabu kubeba ndoo kumi za mchanga na kufagia ofisini ya walimu week nzima nkamwambia mie ni kiongoz siruhusiwi kufanya Kazi yyte zaid ya kutoa dawa kwa wagonjwa na kuhakikisha wanapatiwa huduma ya kwanza.......Ety unanijibu dharau mim nkukute administration block nkamwambia haina noma Edson.
Kwanza nkaingizwa kwa Second master, na displine master Alf second master mwenyewe alikua ananitokea........
Kuingia nikaaanza kujiliza ilivofika zamu yangu ya kujielezea nkasema kila kitu hadi alivomtongoza rfk angu na alivonitangazia vita.......Mim nliambiwa kesi yangu imeisha wakabaki na huyo ticha sijui aliliwa kiboga maan alitoka kachomoa shati
[emoji3][emoji3][emoji26] kaliwa kiboga jmn
 
Punguza kuvuta bangi, itakusaidia kuacha kupost mambo ya kipumbavu. Nina hakika 100 % maisha yamekupiga, mtu ambaye ametusua kimaisha kwanza hawezi kuhangaika kuripoti ujinga.
Mzee una stress sana, nakaa kwangu,naandika nachokipenda kwani bando langu unalionea huruma,wewe shoga acha kumuonea mwanaume huruma,,jitangaze kama wewe ni bwabwa huenda ukapata wateja humu,mzee mimi natokea chugah,hakuna mjinga anatokea arusha,maisha tunayo sana alafu tunaishi maisha manzuri sana,mimi silipi kodi,naa kwangu,nakula vinzuri,nalala panzuri,hewa na vuta safi sasa iweje maisha yanipige???nina biashara zisizopungua 5 yani nina pesa ndefu sana
 
Inaendeleeea......
Yule jamaa aliongea akiwa na hasira sana,huku akiwa ameshika pisi la gogo,nikajisemea moyoni 'leo litakufa jitu',ghafla nikapigwa na lile gogo la kifua mpaka chini..

Nikiwa na ugulia maumivu akaja jamaa mwingine akanipiga teke la tumbo,alinipa hasira nilikurupuka najiwe mkononi,nilimtandika mshikaji mmoja la kifua mpaka chini,ile wanatahamaki aliyekuwa mbele yangu nilimpiga ''rear leg front kick''wapembeni nikageuka na ''tornado kick'',wengine walipoona wenzao wapo chini walikimbia,nilimfuata yule jamaa aliyenipiga jiwe akiwa anasimama nikampiga ''wing chun punch ''za kifua mpaka akatapika damu,msela angu alimkimbilia mmoja aliyekimbia akampiga mtama mpaka chini.

Mwingine nilichoandika hapa anaweza ona ni utani,au najisifia siko hivyo,yote ni mazoezi nayopiga kila siku,yanayonifanya nijiamini ninapokuwa popote,hapa nimeweka video ya jinsi ya kupiga mateke tofauti tofauti,ukitaka nikufundishe mwenyewe nipo arusha kwa sasa.
View attachment 2389908
Umesoma Arusha Day?
 
Hii kweli nililifanya, nikiwa o level kipindi hicho wanafunzi wa shule hiyo, iliyopo Arusha chini waliogopeka kwa uhuni, uvutaji bangi, uwizi, hiyo shule ina O level na A level.

Kipindi nikiwa form 3, nilikuwa na vuta bangi mfano hakuna, nikisha vuta bangi naingia gheto napiga msuli kinoma, darasani zilikuwa zinachoma matokeo sikosi top ten hata siku moja, lakini mvutaji bangi mnzuri.

Nilianza mafunzo ya taekwondo nikiwa na miaka 12, kwa teacher abuu kaloleni Arusha, nakumbuka tulipewa mafunzo na nako 2 nako pamoja na junior nako, kipindi hicho Arusha iliogopeka kwa uhuni.

Mtaani waliniita damme,maana nilikuwa napiga mateke, hakuna mjinga yeyote alinitania wala kunidharau heshima ilikuwa debe sio kwa wahuni mpaka raia wote.

Kipindi nikiwa form 3, nilikuwa na maisha ya kihuni sana, nakumbuka siku hiyo niliyomtandika nwalimu ilikuwa hivi.

Kuna teacher wa English alikuwa na tabia ya kuendelea kufundisha hata kama kengele imelia bado ataendelea kufundisha kwa dakika 20 mbele, jambo hilo liliwafanya wanafunzi wamchukie, walimpa jina la mkaba penati.

Teacher mwenyewe ndo alikuwa ametoka chuo kwa hiyo alikuwa na mukari na kazi yake, kwa sisi wanafunzi tuliona uzushi tu

Ilikuwa ijumaa kipindi cha mwisho kilikuwa english, na kilikuwa kipindi cha mkaba penati. Muda wa kipindi uliisha, teacher akaendelea kufundisha, nilikuwa na ahadi na demu wangu tukabanduane na kuvuta bangi, demu alinipa ahadi nikitoka shule nika mpitie kwao maana palikuwa sio mbali na kwetu.

Nilivumilia kwa dakika 10, teacher hana hata dalili za kutoka darasani, kwanza ndo anafuta ubao aanze kuandika notice, akisha maliza aweke na homework, nikicheki mda saa zinaenda sana alafu ninaugwadu kinoma.

Nikasema usinitanie, nikachukua begi langu, darasa kimya teacher yupo ubaoni anaandika notice, hapo kengele ilishalia kitambo kama dakika kumi na tano zilizopita nyuma.

Nikampita teacher,
Teacher: Unaenda wapi,
Mimi: Naenda home,
Teacher: Unioni bado nipo darasani
Mimi: Muda umeshaisha
Teacher: Rudi kakae
Mimi: Mdua umeshaisha usinizingue

Teacher alikuja akanikaba shingoni, nikimcheki tunalingana mrefu sema yeye kanipita miaka kadhaa, alafu katoka chuo bado moya,akanitandika kofi moja la haja mpaka masikio yakalia nziiiiiii.

Nikalivumilia,ile anajiandaa kunipiga lingine nikamsogelea nikamtandika kichwa kimoja cha maana, teacher akaanguka chini kama mzigo, wanafunzi wenzangu oooooh.

Teacher kahamka kwa wenge, ananifuata kwa hasira kapanic huku midamu inamtoka mdomoni na puani, nikamtandika stop kick ya kifua teacher akanguka kwenye meza ilikuwa mbele ya darasa.

Akahamka akachukua mbao ya kuchorea msitari kwenye ubao ananifuata kwa hasira kama kanifumania na demu wake. Nika mpiga jumping ushiro teacher chini kazirau, wanafunzi wenzangu si wakaanza kupiga kelele ameua ameua ameua.

Nikatoka nduki kuelekea nnje ya shule, ile nafika kwenye geti lakutokea nnje ya shule limefungwa nikaduwaa miguu yote nguvu hakuna tena, walinzi wakaja wakanikamata.

Itaendelea...
ukimaliza tuambie na maisha yako kwa sasa yapoje baada ya kujifanya mjanja sana kipindi unasoma bila kujua umuhimu wa kuzingatia masomo hata kama muda umeisha. wengi wa type zenu, hata hapa ukituambia umefanikiwa kimaisha huwa mnajifariji tu lakini moyoni mnatamani laiti mngerudi miaka ile mngekuwa na moyo wa kupiga kitabu. wewe sio mfano mzuri kwa watu wengine.

Binafsi nilizaliwa kijijini masikini kabisa, nikasoma kwa shida, sijawahi kusoma tuition tangu nizaliwe hadi form six, hata chuo, kwasababu sikuwa na pesa. cha ajabu, wenzangu waliokuwa wanaenda kusoma tuition walikuwa chini yangu, mimi kila siku wa kwanza tu. sio kwa masomo ya shule hiyo tu, hata mock na necta ambayo haijatungwa na shule hiyo niliongoza kwenye shule nilizopita. university Mungu alinisaidia kuchagua course niitakayo kwasababu nikiwa na BBB one point six ya miaka hiyo. kuna njemba moja ilitokaga DSM ilikuwa inajaziwa kila kitu na wazazi wake kuanzia vitamutamu, sukari, tanbond/blue band na pocket money ya kutosha kuturingishia, basi kuna siku nimekaa nikaona jina lake ameomba kazi ya udereva kwenye ofisi yetu. yaani alipoishia form four alifikiri wazazi wake wataendelea kuwepo, na hawezi kuendelea form six, akaishia kutafuta kazi ya udereva. nilimwonea huruma sana.

binafsi, wewe sio mfano mzuri wa kuigwa sio tu kwa watu wengine, bali hata kwa watoto wako. na usifikiri ni sifa.
 
Hii kweli nililifanya, nikiwa o level kipindi hicho wanafunzi wa shule hiyo, iliyopo Arusha chini waliogopeka kwa uhuni, uvutaji bangi, uwizi, hiyo shule ina O level na A level.

Kipindi nikiwa form 3, nilikuwa na vuta bangi mfano hakuna, nikisha vuta bangi naingia gheto napiga msuli kinoma, darasani zilikuwa zinachoma matokeo sikosi top ten hata siku moja, lakini mvutaji bangi mnzuri.

Nilianza mafunzo ya taekwondo nikiwa na miaka 12, kwa teacher abuu kaloleni Arusha, nakumbuka tulipewa mafunzo na nako 2 nako pamoja na junior nako, kipindi hicho Arusha iliogopeka kwa uhuni.

Mtaani waliniita damme,maana nilikuwa napiga mateke, hakuna mjinga yeyote alinitania wala kunidharau heshima ilikuwa debe sio kwa wahuni mpaka raia wote.

Kipindi nikiwa form 3, nilikuwa na maisha ya kihuni sana, nakumbuka siku hiyo niliyomtandika nwalimu ilikuwa hivi.

Kuna teacher wa English alikuwa na tabia ya kuendelea kufundisha hata kama kengele imelia bado ataendelea kufundisha kwa dakika 20 mbele, jambo hilo liliwafanya wanafunzi wamchukie, walimpa jina la mkaba penati.

Teacher mwenyewe ndo alikuwa ametoka chuo kwa hiyo alikuwa na mukari na kazi yake, kwa sisi wanafunzi tuliona uzushi tu

Ilikuwa ijumaa kipindi cha mwisho kilikuwa english, na kilikuwa kipindi cha mkaba penati. Muda wa kipindi uliisha, teacher akaendelea kufundisha, nilikuwa na ahadi na demu wangu tukabanduane na kuvuta bangi, demu alinipa ahadi nikitoka shule nika mpitie kwao maana palikuwa sio mbali na kwetu.

Nilivumilia kwa dakika 10, teacher hana hata dalili za kutoka darasani, kwanza ndo anafuta ubao aanze kuandika notice, akisha maliza aweke na homework, nikicheki mda saa zinaenda sana alafu ninaugwadu kinoma.

Nikasema usinitanie, nikachukua begi langu, darasa kimya teacher yupo ubaoni anaandika notice, hapo kengele ilishalia kitambo kama dakika kumi na tano zilizopita nyuma.

Nikampita teacher,
Teacher: Unaenda wapi,
Mimi: Naenda home,
Teacher: Unioni bado nipo darasani
Mimi: Muda umeshaisha
Teacher: Rudi kakae
Mimi: Mdua umeshaisha usinizingue

Teacher alikuja akanikaba shingoni, nikimcheki tunalingana mrefu sema yeye kanipita miaka kadhaa, alafu katoka chuo bado moya,akanitandika kofi moja la haja mpaka masikio yakalia nziiiiiii.

Nikalivumilia,ile anajiandaa kunipiga lingine nikamsogelea nikamtandika kichwa kimoja cha maana, teacher akaanguka chini kama mzigo, wanafunzi wenzangu oooooh.

Teacher kahamka kwa wenge, ananifuata kwa hasira kapanic huku midamu inamtoka mdomoni na puani, nikamtandika stop kick ya kifua teacher akanguka kwenye meza ilikuwa mbele ya darasa.

Akahamka akachukua mbao ya kuchorea msitari kwenye ubao ananifuata kwa hasira kama kanifumania na demu wake. Nika mpiga jumping ushiro teacher chini kazirau, wanafunzi wenzangu si wakaanza kupiga kelele ameua ameua ameua.

Nikatoka nduki kuelekea nnje ya shule, ile nafika kwenye geti lakutokea nnje ya shule limefungwa nikaduwaa miguu yote nguvu hakuna tena, walinzi wakaja wakanikamata.

Itaendelea...
Eeheee sasa maendeleo yako kimaisha yapo vp? Au bado bangi?
 
Back
Top Bottom