Nilimpiga Mwalimu akahama shule

Kumbe nitabia za huko. ..nilisoma na jamaa mmoja yeye alitokea huko AR pia. ..alikua anakula jani balaa tena vibaya mno. ..alikua anafaulu sn math nahakua anapenda kuingia darasani. ..mdogo wake alikua anachimba madini hivyo alikua anamtumia hela kila mwezi. .humkuti kantini kabisa...
 
Alafu hakunaga muhuni asiyekuwa na akili,hata ukiangalia pisi kali wote wanatembea na wahuni
 
Inaendeleeea......

Yule jamaa aliongea akiwa na hasira sana, huku akiwa ameshika pisi la gogo, nikajisemea moyoni 'leo litakufa jitu', ghafla nikapigwa na lile gogo la kifua mpaka chini..

Nikiwa na ugulia maumivu akaja jamaa mwingine akanipiga teke la tumbo, alinipa hasira nilikurupuka najiwe mkononi, nilimtandika mshikaji mmoja la kifua mpaka chini, ile wanatahamaki aliyekuwa mbele yangu nilimpiga ''rear leg front kick''wapembeni nikageuka na ''tornado kick'', wengine walipoona wenzao wapo chini walikimbia, nilimfuata yule jamaa aliyenipiga jiwe akiwa anasimama nikampiga ''wing chun punch ''za kifua mpaka akatapika damu, msela angu alimkimbilia mmoja aliyekimbia akampiga mtama mpaka chini.


Mwingine nilichoandika hapa anaweza ona ni utani, au najisifia siko hivyo, yote ni mazoezi nayopiga kila siku, yanayonifanya nijiamini ninapokuwa popote,hapa nimeweka video ya jinsi ya kupiga mateke tofauti tofauti, ukitaka nikufundishe mwenyewe nipo Arusha kwa sasa.
Your browser is not able to display this video.
 
Kipindi cha ujana,usipokuwa makini kinaweza kukupptezea dira
yote ya maisha
 
[emoji28][emoji28][emoji28] nimekupenda bure.
Vipi master alikula mzigo??

#MaendeleoHayanaChama
 
Ningeozea jela
Malizia story kwanza wanyumbani
Hahaha alafu watu wengine wanafikiri ni chai
Watoto wa arusha unatakiwa u deal nao kwa hekima sana.
Yaani ile anakua tu ajaanza shule tayari mbabe.
Ushaonaga mtoto wa chekechea naambiwa amuite mzazi?
Hii ipo chuga.
All in all hamna sababu yoyote ya kujustfy kumpiga mtu yoyote bila sababu yoyote.
Mwalimu hakutakiwa kukupiga makofi.hata kama uliamua kukatika darasani,
Namba mbili hutakiwi kuongeza hata sekunde kengele ya break inapolia kibongo bongo wanaona sawa ila mbele watoto wanabeba mabegi wanaamsha.

Kisheria inatakiwa fimbo.sio makofi.
Walimu hilo mkalitazame.
Naona hamjaliangalia hilo hapo.
Alitakiwa amuache dogo aomdoke alafu yeye aamue taratibu zinazofuata.
 
Mkuu,watoto wa chugah wajanja sana,nina mjomba angu yupo darasa la kwanza yani bibi yake ambaye ni mama yangu wanaishi wote home,bibi ni mfanyabiashara soko kuu arusha,mother anaondoka asubuhi kwenye mbishe zake anamuacha mjomba angu huyo wa darasa la kwanza,mwenyewe home basi dogo anafanya kazi zote home,akishamaliza anaenda shule hapo ajui cha mama wala baba anajielewa sana,sasa umri huo kwa mtoto wa dasalade hata kujishughulikia mwenyewe hajui
 
Unaonekana pisikali
 
Nikikutana na comments kama hizi moja kwa moja wewe bwabwa,asilimia kubwa ya mashoga wanamipasho kama wa dada
Punguza kuvuta bangi, itakusaidia kuacha kupost mambo ya kipumbavu. Nina hakika 100 % maisha yamekupiga, mtu ambaye ametusua kimaisha kwanza hawezi kuhangaika kuripoti ujinga.
 
[emoji3][emoji3][emoji26] kaliwa kiboga jmn
 
Punguza kuvuta bangi, itakusaidia kuacha kupost mambo ya kipumbavu. Nina hakika 100 % maisha yamekupiga, mtu ambaye ametusua kimaisha kwanza hawezi kuhangaika kuripoti ujinga.
Mzee una stress sana, nakaa kwangu,naandika nachokipenda kwani bando langu unalionea huruma,wewe shoga acha kumuonea mwanaume huruma,,jitangaze kama wewe ni bwabwa huenda ukapata wateja humu,mzee mimi natokea chugah,hakuna mjinga anatokea arusha,maisha tunayo sana alafu tunaishi maisha manzuri sana,mimi silipi kodi,naa kwangu,nakula vinzuri,nalala panzuri,hewa na vuta safi sasa iweje maisha yanipige???nina biashara zisizopungua 5 yani nina pesa ndefu sana
 
Umesoma Arusha Day?
 
ukimaliza tuambie na maisha yako kwa sasa yapoje baada ya kujifanya mjanja sana kipindi unasoma bila kujua umuhimu wa kuzingatia masomo hata kama muda umeisha. wengi wa type zenu, hata hapa ukituambia umefanikiwa kimaisha huwa mnajifariji tu lakini moyoni mnatamani laiti mngerudi miaka ile mngekuwa na moyo wa kupiga kitabu. wewe sio mfano mzuri kwa watu wengine.

Binafsi nilizaliwa kijijini masikini kabisa, nikasoma kwa shida, sijawahi kusoma tuition tangu nizaliwe hadi form six, hata chuo, kwasababu sikuwa na pesa. cha ajabu, wenzangu waliokuwa wanaenda kusoma tuition walikuwa chini yangu, mimi kila siku wa kwanza tu. sio kwa masomo ya shule hiyo tu, hata mock na necta ambayo haijatungwa na shule hiyo niliongoza kwenye shule nilizopita. university Mungu alinisaidia kuchagua course niitakayo kwasababu nikiwa na BBB one point six ya miaka hiyo. kuna njemba moja ilitokaga DSM ilikuwa inajaziwa kila kitu na wazazi wake kuanzia vitamutamu, sukari, tanbond/blue band na pocket money ya kutosha kuturingishia, basi kuna siku nimekaa nikaona jina lake ameomba kazi ya udereva kwenye ofisi yetu. yaani alipoishia form four alifikiri wazazi wake wataendelea kuwepo, na hawezi kuendelea form six, akaishia kutafuta kazi ya udereva. nilimwonea huruma sana.

binafsi, wewe sio mfano mzuri wa kuigwa sio tu kwa watu wengine, bali hata kwa watoto wako. na usifikiri ni sifa.
 
Eeheee sasa maendeleo yako kimaisha yapo vp? Au bado bangi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…