APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
- Thread starter
- #21
Nikifamtaacha lini bangi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikifamtaacha lini bangi?
Unataka kichapoNa hii nayo unaiwekea episod? Upuuz
Good teacherHakua na saikolojia ya ualimu huyooo angeacha uondoke TU
Mimi sitakagi kabisa aibu,nikiona unatoma class Kwa kujiamini nakuacha uende sikuulizi maana najua kuna mawili niabike au nikupotezee
Wewe ni mwenyekiti wa jumuiya ya mtakatifu nani?Mkuu kwa manufaa ysko, mtafute huyu Mwl umwombe msamaha. Ahsantrle
Tukisema bangi mbaya wanatujia juu juu kanikera Sana kumpiga mwalimumtaacha lini bangi?
Acha utotoHivi shule zimefungwa?.. au vitoto vya darasa la Saba vimeanza usmbufu?
Anatandikwa tu vinzuri,kwani mimi na mwalimu nani mkubwa??tulipigana nikamzidiTukisema bangi mbaya wanatujia juu juu kanikera Sana kumpiga mwalimu
😄😄😄Wewe ni mwenyekiti wa jumuiya ya mtakatifu nani?
Una moyo wa madhabahuni kabisa.
Taifa la kondoo huendeshwa na serikali ya dube na mbwa mwitu wenye hasiraTaifa lina vijana mandezi sana
Ipo kama back kick au tobi ushiro sema unaruka juu kidogo usipige kama gel unaruka juu iliupige kifuani au shingoniHold on...jumping ushiro ndo ipi hiyo..or do you mean ushiro gel..,?
Wewe mwenyewe pusha devilSawa pusha
Kila nikitaka kusimulia maujinga yangu kama ulivyosimulia maupuuzi yako, nafsi inanisuta sana. Kwa ufupi, nami nilikuwa mkorofi, ila siwezi kusimulia ujinga.Mzee umenena
Kawaandikie watoto wenzako huu upuuziHii kweli nililifanya,nikiwa o level kipindi hicho wanafunzi wa shule hiyo,iliyopo arusha chini waliogopeka kwa uhuni,uvutaji bangi,uwizi,hiyo shule ina O level na A level...
Kipindi nikiwa form 3,nilikuwa na vuta bangi mfano hakuna,nikisha vuta bangi naingia gheto napiga msuli kinoma,darasani zilikuwa zinachoma matokeo sikosi top ten hata siku moja,lakini mvutaji bangi mnzuri..
Nilianza mafunzo ya taekwondo nikiwa na miaka 12,kwa teacher abuu kaloleni arusha,nakumbuka tulipewa mafunzo na nako 2 nako pamoja na junior nako,kipindi hicho arusha iliogopeka kwa uhuni.
Mtaani waliniita damme,maana nilikuwa napiga mateke,hakuna mjinga yeyote alinitania wala kunidharau heshima ilikuwa debe sio kwa wahuni mpaka raia wote.
Kipindi nikiwa form 3,nilikuwa na maisha ya kihuni sana,nakumbuka siku hiyo niliyomtandika nwalimu ilikuwa hivi.
Kuna teacher wa English alikuwa na tabia ya kuendelea kufundisha hata kama kengele imelia bado ataendelea kufundisha kwa dakika 20 mbele,jambo hilo liliwafanya wanafunzi wamchukie,walimpa jina la mkaba penati..teacher mwenyewe ndo alikuwa ametoka chuo kwa hiyo alikuwa na mukari na kazi yake,kwa sisi wanafunzi tuliona uzushi tu..
Ilikuwa ijumaa kipindi cha mwisho kilikuwa english,na kilikuwa kipindi cha mkaba penati.mda wa kipindi uliisha,teacher akaendelea kufundisha,nilikuwa na ahadi na demu wangu tukabanduane na kuvuta bangi,demu alinipa ahadi nikitoka shule nika mpitie kwao maana palikuwa sio mbali na kwetu.
Nilivumilia kwa dakika 10,teacher hana hata dalili za kutoka darasani,kwanza ndo anafuta ubao aanze kuandika notice,akisha maliza aweke na homework, nikicheki mda saa zinaenda sana alafu ninaugwadu kinoma.
Nikasema usinitanie,nikachukua begi langu,darasa kimya teacher yupo ubaoni anaandika notice,hapo kengele ilishalia kitambo kama dakika kumi na tano zilizopita nyuma.
Nikampita teacher,
Teacher:unaenda wapi,
Mimi:naenda home,
Teacher:unioni bado nipo darasani,
Mimi:mda umeshaisha
Teacher:rudi kakae
Mimi:mda umeshaisha usinizingue,
Teacher alikuja akanikaba shingoni,nikimcheki tunalingana mrefu sema yeye kanipita miaka kadhaa,alafu katoka chuo bado moya,akanitandika kofi moja la haja mpaka masikio yakalia nziiiiiii.
Nikalivumilia,ile anajiandaa kunipiga lingine nikamsogelea nikamtandika kichwa kimoja cha maana,teacher akaanguka chini kama mzigo,wanafunzi wenzangu oooooh.
Teacher kahamka kwa wenge,ananifuata kwa hasira kapanic huku midamu inamtoka mdomoni na puani,nikamtandika stop kick ya kifua teacher akanguka kwenye meza ilikuwa mbele ya darasa.akahamka akachukua mbao ya kuchorea msitari kwenye ubao ananifuata kwa hasira kama kanifumania na demu wake.nika mpiga jumping ushiro teacher chini kazirau,wanafunzi wenzangu si wakaanza kupiga kelele ameua ameua ameua..
Nikatoka nduki kuelekea nnje ya shule,ile nafika kwenye geti lakutokea nnje ya shule limefungwa.nikaduwaa miguu yote nguvu hakuna tena,walinzi wakaja wakanikamata...