Nilimpiga Mwalimu akahama shule

Nilimpiga Mwalimu akahama shule

Mkuu kwa manufaa ysko, mtafute huyu Mwl umwombe msamaha. Ahsantrle
Msamaha wa nini kuna walimu wasengerema sana..kuna mmoja alinilamba stiki za uonevu ambazo hata sikustahili....sijui yuko wapi mbwa yule..siku ni kujua alipo natamfanya kitu mbaya mbwa yule akafie mbali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii kweli nililifanya, nikiwa o level kipindi hicho wanafunzi wa shule hiyo, iliyopo Arusha chini waliogopeka kwa uhuni, uvutaji bangi, uwizi, hiyo shule ina O level na A level.

Kipindi nikiwa form 3, nilikuwa na vuta bangi mfano hakuna, nikisha vuta bangi naingia gheto napiga msuli kinoma, darasani zilikuwa zinachoma matokeo sikosi top ten hata siku moja, lakini mvutaji bangi mnzuri.

Nilianza mafunzo ya taekwondo nikiwa na miaka 12, kwa teacher abuu kaloleni Arusha, nakumbuka tulipewa mafunzo na nako 2 nako pamoja na junior nako, kipindi hicho Arusha iliogopeka kwa uhuni.

Mtaani waliniita damme,maana nilikuwa napiga mateke, hakuna mjinga yeyote alinitania wala kunidharau heshima ilikuwa debe sio kwa wahuni mpaka raia wote.

Kipindi nikiwa form 3, nilikuwa na maisha ya kihuni sana, nakumbuka siku hiyo niliyomtandika nwalimu ilikuwa hivi.

Kuna teacher wa English alikuwa na tabia ya kuendelea kufundisha hata kama kengele imelia bado ataendelea kufundisha kwa dakika 20 mbele, jambo hilo liliwafanya wanafunzi wamchukie, walimpa jina la mkaba penati.

Teacher mwenyewe ndo alikuwa ametoka chuo kwa hiyo alikuwa na mukari na kazi yake, kwa sisi wanafunzi tuliona uzushi tu

Ilikuwa ijumaa kipindi cha mwisho kilikuwa english, na kilikuwa kipindi cha mkaba penati. Muda wa kipindi uliisha, teacher akaendelea kufundisha, nilikuwa na ahadi na demu wangu tukabanduane na kuvuta bangi, demu alinipa ahadi nikitoka shule nika mpitie kwao maana palikuwa sio mbali na kwetu.

Nilivumilia kwa dakika 10, teacher hana hata dalili za kutoka darasani, kwanza ndo anafuta ubao aanze kuandika notice, akisha maliza aweke na homework, nikicheki mda saa zinaenda sana alafu ninaugwadu kinoma.

Nikasema usinitanie, nikachukua begi langu, darasa kimya teacher yupo ubaoni anaandika notice, hapo kengele ilishalia kitambo kama dakika kumi na tano zilizopita nyuma.

Nikampita teacher,
Teacher: Unaenda wapi,
Mimi: Naenda home,
Teacher: Unioni bado nipo darasani
Mimi: Muda umeshaisha
Teacher: Rudi kakae
Mimi: Mdua umeshaisha usinizingue

Teacher alikuja akanikaba shingoni, nikimcheki tunalingana mrefu sema yeye kanipita miaka kadhaa, alafu katoka chuo bado moya,akanitandika kofi moja la haja mpaka masikio yakalia nziiiiiii.

Nikalivumilia,ile anajiandaa kunipiga lingine nikamsogelea nikamtandika kichwa kimoja cha maana, teacher akaanguka chini kama mzigo, wanafunzi wenzangu oooooh.

Teacher kahamka kwa wenge, ananifuata kwa hasira kapanic huku midamu inamtoka mdomoni na puani, nikamtandika stop kick ya kifua teacher akanguka kwenye meza ilikuwa mbele ya darasa.

Akahamka akachukua mbao ya kuchorea msitari kwenye ubao ananifuata kwa hasira kama kanifumania na demu wake. Nika mpiga jumping ushiro teacher chini kazirau, wanafunzi wenzangu si wakaanza kupiga kelele ameua ameua ameua.

Nikatoka nduki kuelekea nnje ya shule, ile nafika kwenye geti lakutokea nnje ya shule limefungwa nikaduwaa miguu yote nguvu hakuna tena, walinzi wakaja wakanikamata.

Itaendelea...
Umelaaniwa wewe mpaka kwenye utu uzima wako. Halafu unapata ujasiri kusimulia matokeo ya bangi zako!!! Aisee...,
 
Huwezi kunilaani mimi, only God can judge me, acha kujifanya mtakatifu sana wakati umeficha makucha, nimependa kusimulia maisha yangu ya nyuma kama imekukera yanini kusoma uzi wangu? Acha ushamba uende mbinguni
 
Hii kweli nililifanya, nikiwa o level kipindi hicho wanafunzi wa shule hiyo, iliyopo Arusha chini waliogopeka kwa uhuni, uvutaji bangi, uwizi, hiyo shule ina O level na A level.

Kipindi nikiwa form 3, nilikuwa na vuta bangi mfano hakuna, nikisha vuta bangi naingia gheto napiga msuli kinoma, darasani zilikuwa zinachoma matokeo sikosi top ten hata siku moja, lakini mvutaji bangi mnzuri.

Nilianza mafunzo ya taekwondo nikiwa na miaka 12, kwa teacher abuu kaloleni Arusha, nakumbuka tulipewa mafunzo na nako 2 nako pamoja na junior nako, kipindi hicho Arusha iliogopeka kwa uhuni.

Mtaani waliniita damme,maana nilikuwa napiga mateke, hakuna mjinga yeyote alinitania wala kunidharau heshima ilikuwa debe sio kwa wahuni mpaka raia wote.

Kipindi nikiwa form 3, nilikuwa na maisha ya kihuni sana, nakumbuka siku hiyo niliyomtandika nwalimu ilikuwa hivi.

Kuna teacher wa English alikuwa na tabia ya kuendelea kufundisha hata kama kengele imelia bado ataendelea kufundisha kwa dakika 20 mbele, jambo hilo liliwafanya wanafunzi wamchukie, walimpa jina la mkaba penati.

Teacher mwenyewe ndo alikuwa ametoka chuo kwa hiyo alikuwa na mukari na kazi yake, kwa sisi wanafunzi tuliona uzushi tu

Ilikuwa ijumaa kipindi cha mwisho kilikuwa english, na kilikuwa kipindi cha mkaba penati. Muda wa kipindi uliisha, teacher akaendelea kufundisha, nilikuwa na ahadi na demu wangu tukabanduane na kuvuta bangi, demu alinipa ahadi nikitoka shule nika mpitie kwao maana palikuwa sio mbali na kwetu.

Nilivumilia kwa dakika 10, teacher hana hata dalili za kutoka darasani, kwanza ndo anafuta ubao aanze kuandika notice, akisha maliza aweke na homework, nikicheki mda saa zinaenda sana alafu ninaugwadu kinoma.

Nikasema usinitanie, nikachukua begi langu, darasa kimya teacher yupo ubaoni anaandika notice, hapo kengele ilishalia kitambo kama dakika kumi na tano zilizopita nyuma.

Nikampita teacher,
Teacher: Unaenda wapi,
Mimi: Naenda home,
Teacher: Unioni bado nipo darasani
Mimi: Muda umeshaisha
Teacher: Rudi kakae
Mimi: Mdua umeshaisha usinizingue

Teacher alikuja akanikaba shingoni, nikimcheki tunalingana mrefu sema yeye kanipita miaka kadhaa, alafu katoka chuo bado moya,akanitandika kofi moja la haja mpaka masikio yakalia nziiiiiii.

Nikalivumilia,ile anajiandaa kunipiga lingine nikamsogelea nikamtandika kichwa kimoja cha maana, teacher akaanguka chini kama mzigo, wanafunzi wenzangu oooooh.

Teacher kahamka kwa wenge, ananifuata kwa hasira kapanic huku midamu inamtoka mdomoni na puani, nikamtandika stop kick ya kifua teacher akanguka kwenye meza ilikuwa mbele ya darasa.

Akahamka akachukua mbao ya kuchorea msitari kwenye ubao ananifuata kwa hasira kama kanifumania na demu wake. Nika mpiga jumping ushiro teacher chini kazirau, wanafunzi wenzangu si wakaanza kupiga kelele ameua ameua ameua.

Nikatoka nduki kuelekea nnje ya shule, ile nafika kwenye geti lakutokea nnje ya shule limefungwa nikaduwaa miguu yote nguvu hakuna tena, walinzi wakaja wakanikamata.

Itaendelea...
Shenzi
 
Kila nikitaka kusimulia maujinga yangu kama ulivyosimulia maupuuzi yako, nafsi inanisuta sana. Kwa ufupi, nami nilikuwa mkorofi, ila siwezi kusimulia ujinga.
Mimi ukorofi umenipa kitu kikubwa maishani, zaidi ya pesa, na vimba popote
 
Msamaha wa nini kuna walimu wasengerema sana..kuna mmoja alinilamba stiki za uonevu ambazo hata sikustahili....sijui yuko wapi mbwa yule..siku ni kujua alipo natamfanya kitu mbaya mbwa yule akafie mbali.

#MaendeleoHayanaChama
Mimi walimu waliniogopa sana mpaka.wanafunzi
 
Hukukutana na mwalimu komando .Ningekuwa ndo mimi unipige nianguke mbele za wanafunzi ningeku r.i.p.hapohapo.mawashigeli na juu nzuki moja tu una r.i.p
Mzee mimi sipigiki,nilishawahi pigana na.watu wa 5 wote chini sasa weqe mmoja sinitakuua
 
Back
Top Bottom