Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?

Mkuu,uchawi si lazima uvae kaniki. Utamwachisha kazi,atakuachia biashara ila kama ipo,ipo tu.
 
Ila binadamu bana.
 
Mkuu mpaka umeandika hapa means ndani yako kuna sauti inakwambia kinachoendelea hapo dukani kwako SIO SAHIHI na ni kweli sio sahihi.

Achana na wanaokwambia wewe ni mchawi sijui una roho mbaya sijui una tamaa.Haiwezekani dogo apate kuliko wewe au sawa na wewe sbb ukijumlisha 220k ya mshahara na allowance na 180k yq hiyo biz yake ni 400k means anakuzidi miez unayopata 300k au mko sawa miez unayopata 400k.
Kwa hela na expirience anayopata hapo kwako muda sio mrefu ataondokq kuanzisha yake na akifikia hilo lengo anaweza kuondoka na wateja wako.
Fanya figisu aondoke kabla hajaondoka na wateja wako then weka kijana mwingine na hiyo biashara yake fanya wewe..
Mkuu hata waajiri wa makampuni makubwa wanahakikisha wafanyakazi wao hawatajiri sbb wakitajirika wanawapoteza ndo mana ni watu wachache sana wanatajirika kwa mshahara.

Hakuna cha dogo ana kismati wala nini Hizo ni imani potofu.Watu wanaiba idea za watu wanapiga pesa na wewe chukua idea ya dogo itumie.Kama vipi akaanzishe kwake from scratch afanyie huko kama ni rahisi.Pia chunguza kwanini mapato yameporomoka.Usikute dogo anafanya michezo michafu hapo.

Hata hawa wanaokuzodoa wasingemuachia dogo apige hela kuwashinda jiongeze.
 
exactly mkuu, hapa watuvwanajifanya maraika but ikiwatokea wao hawataamua hivi wanavoshauri.

serikali tu inakataza mtu kufanya biashara yake ofisi zake, unajua why?
 
Elfu 8 kwa siku.. Muache mkuu.
guys ambacho hamuelewi ni kua, anaiba muda wa muajiri wake kwejye kufanya biashara yake hapo hapo. Hatoconcetrate na biashara ya boss cas cha mtu chake, so lazima mudavwote awaze biashara yake inaimarika vipi, then boss atajua mwenyewe ilimradi me ananipa changu. We kuweza?
 
Huu sasa wivu..!!
 
Kaa nae muulize kama yuko Tayari kusimamia biashara yake, Mwambie akusaidie kutafuta mfanyakazi mwingine...

Then yeye atulie na biashara yake, Pengine ndio njia yake hiyo kutusua...
 
exactly mkuu, hapa watuvwanajifanya maraika but ikiwatokea wao hawataamua hivi wanavoshauri.

serikali tu inakataza mtu kufanya biashara yake ofisi zake, unajua why?
Jf kila mtu ana huruma kila mtu 180k ni ndogo tu yakupotezea ila ulimwengu wa biashara unataka kila cent inayoweza kupatikana ipatikane.
 
Mimi nadhani hiyo ndio njia rahisi ya kutoa sadaka.....

Hakuna hisia nzuri kwa muungwana kama kuwainua wengine

Ifanye mikono yako kama njia ya kuwainua wengine na sio kuwashusha wengine na wewe utabarikiwa......

Maisha ni safari ndefu sana ndugu hakuna ajuaye kesho yake........huyo anaweza kuwa msaada mkubwa kwako siku za usoni......
 
Kama fremu ni yake sawa, ila naye kapanga, itategemea na makubaliano yake na mwenye fremu
Sijajua yuko wapi, ila hii nimeiona hapa kariakoo mtu anaweka product zake kadhaa kwenye frem ya mtu then anazunguka kutangaza, mteja akitaka kwenda dukani anaenda nae hapo kwenye hio frem..

Mtaji ukikua anatafuta frem yake mwenyewe..

Hii maranyingi inategemea na uhusiano kati ya mwenye frem na huyo aliyejishikiza...
 
uko sahihi sana..kwanza alichemka sana kumruhusu kufungua bishara tena ndani ya biashara yake hilo halivumiliki kokote duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…