Siwezi kuthibitisha fedha halali mimi sio mwizi namwachia Mungu amlipemuoneshe ushaidi wewe sio ushirikina. Maana ikitokea bahati mbaya mtu akadedi lawama zote zitatupiwa serikalii。
Acha ujinga ,Upendo huambatana na wasiwasi hasa kwa wale tunaowapenda, mama ako hataki kwenda mbinguni pekeyake, mama Yako anakupenda , nenda nae taratibuNaona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Hawana makosa.. Wanakuhisi hivyo, na hiyo ni sawa kabisa, kwa sababu hujawaweka wazi kuhus chanzo cha mapato yako. Waeleze ukweli kuhusu ulikopata fedha.Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla...
Mimi kwa akili yangu kama mtu mzima nisingemtamkia mwanangu maneno machafu kama hayo ningetulia mpaka nifahamu chanzo lakini yeye hayo maneno kanirushia kwanini mapema hivi kwani asingejua kama angetuliaElewa kwamba mafanikio ya haraka lazima yatiliwe shaka. Hivi unafikiri ni rahisi mama yako ghafla tu aone una nyumba then unakuwa na jibu rahisi kwamba nilishinda betting akubaliane na hilo?...
😂😂😂 pole sanaMimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafl...
"Betting nayo ni kama kamari"Tatizo ukikosa hela ya kubeti na nyumba utauza.
Betting nayo ni kama kamari
Kila mtu ana hulka yake jinsi ya kupokea habari tata kama yako, ukizingatia kwamba ni mama yako kwa hiyo alijiona ana haki ya kuzungumza chochote juu yako. Inabidi uwe kawaida tu usiwachukie, mbeleni mtaelewana tu kidogo kidogoMimi kwa akili yangu kama mtu mzima nisingemtamkia mwanangu maneno machafu kama hayo ningetulia mpaka nifahamu chanzo lakini yeye hayo maneno kanirushia kwanini mapema hivi kwani asingejua kama angetulia
Tatizo linaanzia kwenye umri wakoMimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafl...
Naumia sana ndugu maneno ya kafara ni makubwa na mabaya afadhali upakaziwe kitu unachofanya lakini kama maisha yako hujawahi kujihusisha nacho usiombe maumivu yake yakupateKila mtu ana hulka yake jinsi ya kupokea habari tata kama yako, ukizingatia kwamba ni mama yako kwa hiyo alijiona ana haki ya kuzungumza chochote juu yako. Inabidi uwe kawaida tu usiwachukie,,, mbeleni mtaelewana tu kidogo kidogo
Wana upendo sana na wewe.Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafl...
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafl...
Kweli mzee nakubaliana na hilo, omba watu wa karibu yako waendelee kuishi salama na afya zao, akifa mtu tu hapo wanajua wewe ndo umeshafanya yako tayari.Naumia sana ndugu maneno ya kafara ni makubwa na mabaya afadhali upakaziwe kitu unachofanya lakini kama maisha yako hujawahi kujihusisha nacho usiombe maumivu yake yakupate
Basi kubali kuitwa mchawiHapana siwezi kufanya hivyo
Nimeshahisi nitabeba hizo lawama lakini hiyo laana ya kunipakazia itawatafuna maisha yao yoteKweli mzee nakubaliana na hilo, omba watu wa karibu yako waendelee kuishi salama na afya zao, akifa mtu tu hapo wanajua wewe ndo umeshafanya yako tayari.