Nilimshirikisha mama yangu mafanikio yangu nikadhani amefurahi, baada ya muda kila nikiwasiliana naye ananiambia isijekuwa naenda kwa waganga

Nilimshirikisha mama yangu mafanikio yangu nikadhani amefurahi, baada ya muda kila nikiwasiliana naye ananiambia isijekuwa naenda kwa waganga

muoneshe ushaidi wewe sio ushirikina. Maana ikitokea bahati mbaya mtu akadedi lawama zote zitatupiwa serikalii。
Siwezi kuthibitisha fedha halali mimi sio mwizi namwachia Mungu amlipe

Siwezi kuhangaika kumthibitishia kana kwamba nimeiba naendelea kumtazama jinsi alivyo na mdomo mchafu nikichoka basi nitaamua kukaa mbali na yeye akae mbali na maisha yangu
 
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla...
Hawana makosa.. Wanakuhisi hivyo, na hiyo ni sawa kabisa, kwa sababu hujawaweka wazi kuhus chanzo cha mapato yako. Waeleze ukweli kuhusu ulikopata fedha.
 
Elewa kwamba mafanikio ya haraka lazima yatiliwe shaka. Hivi unafikiri ni rahisi mama yako ghafla tu aone una nyumba then unakuwa na jibu rahisi kwamba nilishinda betting akubaliane na hilo?...
Mimi kwa akili yangu kama mtu mzima nisingemtamkia mwanangu maneno machafu kama hayo ningetulia mpaka nifahamu chanzo lakini yeye hayo maneno kanirushia kwanini mapema hivi kwani asingejua kama angetulia
 
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafl...
😂😂😂 pole sana
 
Kila mtu ana hulka yake jinsi ya kupokea habari tata kama yako, ukizingatia kwamba ni mama yako kwa hiyo alijiona ana haki ya kuzungumza chochote juu yako. Inabidi uwe kawaida tu usiwachukie, mbeleni mtaelewana tu kidogo kidogo
 
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafl...
Tatizo linaanzia kwenye umri wako
 
Kila mtu ana hulka yake jinsi ya kupokea habari tata kama yako, ukizingatia kwamba ni mama yako kwa hiyo alijiona ana haki ya kuzungumza chochote juu yako. Inabidi uwe kawaida tu usiwachukie,,, mbeleni mtaelewana tu kidogo kidogo
Naumia sana ndugu maneno ya kafara ni makubwa na mabaya afadhali upakaziwe kitu unachofanya lakini kama maisha yako hujawahi kujihusisha nacho usiombe maumivu yake yakupate
 
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafl...
Wana upendo sana na wewe.

Wako sahihi sababu siku hizi hizo pesa ndiyo habari ya mjini.

Na hata kama kuna kafara zako hao tayari hutaweza.

kuwachukua.

kwanini ushindi wako wa betting ukawa siri tangu mwanzo.

lnaonyesha baada ya kutiliwa shaka ndiyo ukatafuta chanzo cha pesa zako.

Kuna mienendo yako tayari inawatia mashaka.

Na kwa watu wa maombi waliosimama na mungu kweli kweli hilo ktk ulimwengu ule wa pili wa roho wameshaliona hilo

NB: Ila sijakuhukumu. Ikiwa hela zako ni halali huna haja ya kujitetea sana. Endelea na maisha yako.
 
Hama nchi mkuu
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafl...
 
Naumia sana ndugu maneno ya kafara ni makubwa na mabaya afadhali upakaziwe kitu unachofanya lakini kama maisha yako hujawahi kujihusisha nacho usiombe maumivu yake yakupate
Kweli mzee nakubaliana na hilo, omba watu wa karibu yako waendelee kuishi salama na afya zao, akifa mtu tu hapo wanajua wewe ndo umeshafanya yako tayari.
 
Back
Top Bottom