Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Mtumie umalize ubishi, huna Cha kupoteza na utampa amani kama Yuko sawaHapana siwezi kufanya hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtumie umalize ubishi, huna Cha kupoteza na utampa amani kama Yuko sawaHapana siwezi kufanya hivyo
Sio kweli, kufanya kimya kimya ni muhimu mara nyingi, Kwa njaa za bongo wakijua una pesa au unapiga pesa inaweza ikawa ni hatari na unaweza kupoteza Kila kitu, ndugu na marafiki wanajiona Wana hati miliki wakijua una pesa, utaombwa na utaletewa bill za hospitali mpaka binamu wa sita ambaye hujawahi kumsikiaNi mchoyo kupindukia alidhani watamuomba ndio maana anafanya mambo yake kimyakimya.
Sawa Chief GodloveNdugu mambo ya hela ni sensitive sana sio ya kuanika hadharani, siwezi kuwavua nguo kampuni yangu pendwa ya betting, hata kama ni kuwatangaza nitatumia namna nyingine lakini sio kuanika hadharani
Huyu hawajui wabongo vzr, na aliyekuwa na kibarua chake anaacha hapohapoSio kweli, kufanya kimya kimya ni muhimu mara nyingi, Kwa njaa za bongo wakijua una pesa au unapiga pesa inaweza ikawa ni hatari na unaweza kupoteza Kila kitu, ndugu na marafiki wanajiona Wana hati miliki wakijua una pesa, utaombwa na utaletewa bill za hospitali mpaka binamu wa sita ambaye hujawahi kumsikia
Ndicho nilichokifanya, nashkuru sikuwahi kuwakaribisha kwangu, sitowahi kamwe kuwakaribisha kwangu nimeshafahamu ubaya waoSio kweli, kufanya kimya kimya ni muhimu mara nyingi, Kwa njaa za bongo wakijua una pesa au unapiga pesa inaweza ikawa ni hatari na unaweza kupoteza Kila kitu, ndugu na marafiki wanajiona Wana hati miliki wakijua una pesa, utaombwa na utaletewa bill za hospitali mpaka binamu wa sita ambaye hujawahi kumsikia
Haitasaidia kama mtu ameshakuwa na inani hizo maana wengine wamekosa timu hizo hizo.Screenshot mkeka ulioshinda, umtumie kama evidence
Kwani ubaya si wameuonyesha?Wewe ni mchawi kumuona mama yako ni mbaya na familia yako. Haadi hapo wewe ni mchawi. End thread
Ndugu yangu watu kama hawa hata uwafanyie nini na kuwaonesha nini bado watakuita mchawi, kamwe sitapoteza muda wangu ni kukaa mbali naoHaitasaidia kama mtu ameshakuwa na inani hizo maana wengine wamekosa timu hizo hizo.
Huyu amweleweshe taratibu aelewe.
Tema mate chini mjinga wewe!Asante sana mkuu, imebidi nionane na ile kampuni ya betting tumekaa chini tukaongea sana kwakweli wamesikitika sana wakanambia sina bahati ya mama, nimezaliwa familia mbaya
Unajiona umemaliza maisha sio? Unamkosoa Mungu na mzazi kwa kupiga mshindo wa betting?Niliyemweleza ni mama yangu, kwanza kabisa kitendo cha yeye kuthubutu kunipakazia maneno ya laana kama haya tayari nina mama mbaya
Waonyeshe malipo ya TRA,(Makato),yaliyo katwa kwenye hiyo betting ili uwe huruMimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla
Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi
Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi
Kuna kaka yangu naye ni mlokole anasali kanisa la Gwajma kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara
Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio
Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
Nimeshanusa harufu ya ujinga wao wacha nikae mbali maadui za watu ni familia yake alikozaliwa sina muda wa kupotezaWako sahihi.
Na ikitokea mtu wa karibu akafariki katika mazingira haya,huchomoki.
Wanajua huna mishe ya kueleweka ni lazima ungewashirikisha na chanzo cha kipato hicho.
Na wao pia wanawaza kukutenga!
Mama ndio adui?Wewe huna tofauti na hawa adui zangu
Issue sio evidence sijashindwa kufanya hivyo natazama jinsi gani familia yangu ina watu wabaya nasubiri watapike na kuhara iwe ndio mwisho wangu kukanyaga kule mana hapo nitakuwa nimesingiziwa nitakuwa sahihi ili dhambi na machozi yangu yawalipeWaonyeshe malipo ya TRA,(Makati),yaliyo katwa kwenye hiyo betting ili uwe huru
Ndio tena ni adui mkubwa amethubutuje kuniropokea maneno machafu kiasi hiki alishindwa nini kutulia nikamtafuta na kumwelekeza vizuriMama ndio adui?
Noma sana.
Sema hii chai yako inapanikisha