Nilimtongoza mara mbili akanikataa kwakuwa ni shemeji yangu lakini haachi kuniomba pesa

Nilimtongoza mara mbili akanikataa kwakuwa ni shemeji yangu lakini haachi kuniomba pesa

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Haka kabinti nilikatongoza mara mbili, kalikataa kabisa kwakuwa mimi ni shemeji yake. Sasa naona tabia yake ile ya kuniomba nimnunue hiki mara nimtolee pesa ya mchezo, mara ya kula naona bado hajaiacha.

Vipi nimchane live kuwa akiwa na shida amwombe dada yake kisha dada yake ndiye afikishe ujumbe kwangu? Nimwambie kuwa apambane na maisha yake tusaidiane kwenye mambo ya msingi tu?

Au nikae kimya tu kila anaponipiga kirungu? Huyu binti amekuwa kero nawaza nimchane live kwani sina hamu naye sasa, kwakweli sasa sina morali naye tena kwasababu kuu mbili.

Moja nimefikiri na kuona kuwa ni shemeji yangu kwahiyo siyo vyema. Mbili mwanamke akinikataa baada
e huwa simtaki kabisa hata akae uchi sisisimki juu yake.
 
Mwambie afike ghetto...


Unampenda?

Umemtamani ...


If so mwambie hakuna cha bure
 
Mwambie afike ghetto...


Unampenda?

Umemtamani ...


If so mwambie hakuna cha bure
Huyu kuna kipindi aliniumiza sana.
Nimemlipia kodi ya chumba laki 3 namtongoza anakataa huku ilikuwa siri yetu kuwa nimemlipia kodi ya chumba. Dada yake alimdanganya kamlipia boy wake.
Nimemsaidia sana.
Simtaki sasa hivi.
 
Huyu kuna kipindi aliniumiza sana.
Nimemlipia kodi ya chumba laki 3 namtongoza anakataa huku ilikuwa siri yetu kuwa nimemlipia kodi ya chumba. Dada yake alimdanganya kamlipia boy wake.
Nimemsaidia sana.
Simtaki sasa hivi.
Poa masta pole Sana .. mtegee kula mgozi alafu kila mtu ashike mia hamsini zake
 
Kibabe sandali, Kama vile unafanya kubiki... Si unajua huwa wanarusha maji ... Ila ukiwatait vizuri huyu hapa na miuno anazungusha
Ahahahaha.
Basi ngoja tamwita lodge aje achukue zawadi, akija tu yeye ndo atakuwa zawadi yenyewe.
Nikimwita mahali popote ,muda wowote hakatai
 
Hivi hawajui kupokea vitu vya Bure ni kuuza uhuru wako. Waoneeni huruma wengi wanaomba kwa SABABU ya UMASKINI hawana Hela za kusuka, kuvaa tuvitu tudogotudogo.
Huyu mwanamama mchane Tu
 
Endelea kumpa siku moja atakuvulia chupi, waliimba Shemeje Shemeje huku wazima Taa
 
Haka kabinti nilikatongoza 2 times, kalikataa kabisa kwakuwa Mimi ni shemeji yake. Sasa naona tabia yake ile ya kuniomba nimnunue hiki mara nimtolee pesa ya mchezo, mara ya kula naona bado hajaiacha.

Vipi nimchane live kuwa akiwa na shida amwombe dada yake kisha dada yake ndiye afikishe ujumbe kwangu?
Nimwambie kuwa apambane na maisha yake tusaidiane kwenye mambo ya msingi tu?

Au nikae kimya tu kila anaponipiga kirungu ? Huyu binti amekuwa kero nawaza nimchane live kwani sina hamu naye sasa , kwakweli sasa sina morali naye tena kwasababu kuu 2.

Moja nimefikiri na kuona kuwa ni shemeji yangu so sio vyema. Mbili mwanamke akinilataa baadaye huwa simtaki kabisa hata akae uchi sisisimki juu yake.
Life is all about exchanges, mpe darasa
 
Back
Top Bottom