Nilimtongoza mara mbili akanikataa kwakuwa ni shemeji yangu lakini haachi kuniomba pesa

Nilimtongoza mara mbili akanikataa kwakuwa ni shemeji yangu lakini haachi kuniomba pesa

Huyo demu anaakiri sana. Pesa za wajinga ni za kuliwa tuu na mbususu hupati.
 
Ashakuona wewe ni zuzu tu kwake ndio sababu anakula tu hela zako.

Halafu......hivi mnashindwa nini kufata vile moyo na nafsi yako inaridhika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom