Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,093
- 2,046
Akikwama tu anakutafutaKwamba wao wawakaze wewe ukazane kuwapa vitu
Yaani misimbazi yangu haina thamani that's why iliwe dezo.Akikwama tu anakutafuta
Asante kwa kunichanaAshakuona wewe ni zuzu tu kwake ndio sababu anakula tu hela zako.
Halafu......hivi mnashindwa nini kufata vile moyo na nafsi yako inaridhika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Piga chini fanya mipango yako joh! Anakusaidia nini zaidi ya kukuchuna tu?Asante kwa kunichana
Poa jahPiga chini fanya mipango yako joh! Anakusaidia nini zaidi ya kukuchuna tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushabadili jinaAaah weeee basi mshauri mtoa mada hivyo akikolea amwambie aombe penzi sio matumizi ya vitu vidogo vidogo
πππ KawaidaUshabadili jina