Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

Wewe kwa Nini umeweka fimbo chini ya uvungu , inafanya Nini huko chini, inamanisha umetunza Ili umchapie mkeo iyo fimbo mara kwa mara, unaacha kutunza fimbo ya katikati ya mapaja Ili utumie kumchapia mkeo vizuri kabisa.
 
Sio kwa huyu mchaga kaka, yaana hata ukila mwezi mzima yy hawazi na hata nikimuonyesha dalili kuwa nataka kwenda nje kuchepuka kwake ni poa tu
Ukiona hivo ujue ana mchepuko kwahiyo ashazoea..haoni tabu kulipiza kisasi.
Embu mchunguze kama ana mapenzi ya kweli huyo baadae usije pata majuto zaidi ni bora uandae mkakati mapema.
Usije ukaingia kwenye kifungo cha ndoa ukajutia life lako lote.
 
,

Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu nilivovileta kuwa vimeoza, basi nikasema isiwe kesi kuanzia kesho nitaacha tu pesa sitahemea kitu Tena,
Mkuu punguza complications zitakugalimu ,kumbuka huyo mke ni mwili tofauti,kichwa tofauti,fikra tofauti na hulka tofauti,binafsi swala la mke kutopokea mzigo wa mme na hapohapo mme analichukulia kwa uzito naona kama mwanamme ni mtata.

Mimi huwa natoka safari na begi langu sipokelewi na moja kwa moja najipelekea maji ya kuoga bafuni,sasa niko na 10+ years ya ndoa ,sijawahi kunyanyua mkono wangu kumpiga shemeji yako.

Anza kwa kumuelewesha na kumfundisha taratibu,usitumie nguvu,ataelewa mitazamo yako na ndoa itadumu,kuna wana ndoa hawana dogo,jifunze ku- ignore baadhi ya mambo ,don't take them too big.

Utamaliza Bucha mkuu.
 
Ongea nae atafunguka ujue tatizo lake.
 
Km amesoma na hajabahatika kupata Kaz bas ukute ana stress 😀 ila na mm natoto ya kunyiramba ni bishi km lako ila lenyewe linapenda kupingwa (dolingo)yn mda wote nikifika tu anataka nimpige mti tu ukienda kuchek msos hamna itaniua njaa hii nyau ya kinyira
 
Wanawake wengine ni shida. Unajitahidi kupiga miti hadi kiuno kinauma lakini bado tu anataka dah!🤣
 
Ndoa ni miongoni mwa mikataba ya kijamii ambayo mtu hupaswa kuwa makini sana kabla ya kuingia ndiyo maana katika jamii nyingi za Kiafrika Wazazi wallichukua jukumu lankuwachagulia vijana wao wenzi wao Kwa kutumia uzoefu wao Ili angalau kuwaepushia madhila na dhahama mbalimbali za ndoa siku za usoni.

Ni jambo la ajabu sana kuamua kuoa kwa sababu ya huruma ya mimba. "HURUMA?"
Mkuu haupo serious na maisha yako
 
Ni kuwawasha tu.... Pighaaa kabhisaaa huyo rafiki Ake shetani.... Pighaa kweli kweli mpaka ajutie kula tunda...
Pighaa huku mguu mmoja umemkanyaga shingoni... Hapo ndo atajua upo serious...
Aimama kama mwanaume wa ukweli... Pighaaaa kweli kweli
 
Hivi unaishije na mwanaume kama huyu anakutandika hivyo. Kazi kweli.
 
Mkuu , usitumie nguvu Sana kumbadilisha MTU.

Unapomuona mke wako hatoi ushirikiano don't demand her attention.

Kama sio mgonjwa jifanyie shughuli zako mwenyewe .

Waweza kupika
Waweza kujifulia
Waweza kujioshea hadi vyombo.

So kuliko kuwa na migogoro ambayo itakuletea stress, hasira, chuki n.k.

We Jifanyie kazi zako mwenyewe , mfano Una njaa siunaweza kupika.
 
Hivi haya ya kupelekewa maji bafuni bado yapo?
 
Hamna ndoa hapo ni suala la muda tu kila mtu atakuwa kwake.
 
Ukiona hivo ujue ana mchepuko kwahiyo ashazoea..haoni tabu kulipiza kisasi.
Embu mchunguze kama ana mapenzi ya kweli huyo baadae usije pata majuto zaidi ni bora uandae mkakati mapema.
Usije ukaingia kwenye kifungo cha ndoa ukajutia life lako lote.
Na wanatunza visasi sana. Huko mbeleni ukiwa umesahau,, atakulipiza kisasi. Chunguza vyema muda haurufi nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…