Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

Kwanza nikuulize ana Msambwanda?

Ushauri mwingine: Kapime DNA.

Kanuni ni ile ile Kaka.

Another Single Maza is coming in Town.
 
Mkuu La7 ulikosea wapi kwanini anakudharau?
 
Mi nilimuoa tukaja tengana kwa kiburi chake alikaa kwao miezi 3 nikamuonea huruma nikamrudisha kinachonikuta ni hatari mwanamke usimuonee huruma
Kwani Mpaka unazaa naye unakuwa humjui tabia?
Vijana tuache kuendeshwa na Nyege.
 
Mtoto kashuhudia haya?
 
Sio kwa huyu mchaga kaka, yaana hata ukila mwezi mzima yy hawazi na hata nikimuonyesha dalili kuwa nataka kwenda nje kuchepuka kwake ni poa tu
Usiongee Chochote ishi na yeye ni kama hayupo nguo zako jifulie,kula mgahawani,Jifulie,akikuongelesha kuwa bubu labda aongelee swala la kununua unga hapo umsikilize.Usimpe attention yeyote.Siku Tatu hatoboi akikuuliza chakula Cha mtoto kuwa bubu.Kaza.
 
Duh pole sana mkuu
Bora uweke dada wa kazi tu awe anakupikia huyo mwenye mtoto hana maana tena
 
Mimba sio kigezo cha kumuoa mtu, wala usiwe soft ivo
 
Jana Niki enda home, kulikuwa na ka family party.
Sasa nime tumia mda mwingi kupiga story na ndugu, Jamaa na marafiki.

Sibling wangu wa mwisho ndo kani sumbua Sana, maana hatuja onana mda mrefu.
Sasa shida usingizi ume goma😁
Sema kaka umeshazoea kukesha.... Mwache lastborn akudekee kaka kuna raha yake ujue. Dekeza dogo usisahau na kulinda Uhuru wako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii imemkuta my bro hapo dom ni mwalimu shule x hizi za mabasi ya njano ni ya masister wa kihindi alitongoza mdada mfanya usafi wa hapo kazini kwao (mchaga) mistakenly akamjaza mimba, demu sio mzuri na kichwani ni mweupeee zaidi ya rim paper A4 ,..demu alivyomwambia bro kwamba ana mimba yake bro akamwambia waitoe demu kagoma, mwamba alivyoona demu kagoma akaanza kumkataa, yule demu alichokifanya akawashtua wa kwao! Moto ukawaka bro akabidi awe mpole tu akaoa mpaka sasa wana watoto wawili
 
Sema kaka umeshazoea kukesha.... Mwache lastborn akudekee kaka kuna raha yake ujue. Dekeza dogo usisahau na kulinda Uhuru wako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dah nime cheka Sana, Eti uhuru wako πŸ€£πŸ˜„.

Kukesha kioo kwenye damu tu, naeza kaa hata wiki nzima .

Sibling ndo mbabe wangu, hapa natumia mzigo wake, Eti Ali sema ana nidaiπŸ˜ƒπŸ˜†
 
Mabinti wa kaskazini sio wa kuchezea utaozeshwa kwa lazima
 

Pole.


Dawa ya mwanamke jeuri ni kumtafutia mwanamke mwenzie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…