Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

Wanaume tunapitia mengi lakini.
Nina mshkaji wangu alimpa mimba binti wa kichaga, wakapata mtoto wa kike jamaa akataka kumtema kisa jeuri . Wazazi wa binti wakamdai lazima amuoe kwa vile kaishi nae mkoani hapo Dar kwa miaka 2 la sivyo watamfanya kitu kibay, jamaa kamuoa mpaka leo wnaishi pamoja.

iIa wapo sahihi kamchezea sana binti wa watu .
 
Mkuu , usitumie nguvu Sana kumbadilisha MTU.

Unapomuona mke wako hatoi ushirikiano don't demand her attention.

Kama sio mgonjwa jifanyie shughuli zako mwenyewe .

Waweza kupika
Waweza kujifulia
Waweza kujioshea hadi vyombo.

So kuliko kuwa na migogoro ambayo itakuletea stress, hasira, chuki n.k.

We Jifanyie kazi zako mwenyewe , mfano Una njaa siunaweza kupika.
Ukiweza kujifanyia yote hayo sasa mke wa kazi gani?

Kinachobakia hapo si kuwa na mkataba na mwanamke ambaye anaishi kwake na wewe unaishi kwako?

Ukichelewa kurudi hakuna wa kukuuliza na ukiamuwa usirudi kabisa Halelujah.
 
Mkuu , usitumie nguvu Sana kumbadilisha MTU.

Unapomuona mke wako hatoi ushirikiano don't demand her attention.

Kama sio mgonjwa jifanyie shughuli zako mwenyewe .

Waweza kupika
Waweza kujifulia
Waweza kujioshea hadi vyombo.

So kuliko kuwa na migogoro ambayo itakuletea stress, hasira, chuki n.k.

We Jifanyie kazi zako mwenyewe , mfano Una njaa siunaweza kupika.
Wanaume wote naomba msichukue kabisa huu ushauri wa Dr. Leo mkuu umechemka bora ungemshauri aachane naye maana amekosa tena sababu ya kuwa naye
 
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo,

Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu nilivovileta kuwa vimeoza, basi nikasema isiwe kesi kuanzia kesho nitaacha tu pesa sitahemea kitu Tena,

Basi asubuhi nikaacha hela nikamwambia akasage mahindi au akanunue tu unga maana ndani vitu vingine vipo,

Nimerudi mchana sijakuta chakula kuuliza, nikaambiwa hawezi kwenda dukani mtoto ni mdogo, ana miezi mitatu,

Basi nikalala zangu kidogo, baadae nikajisapia zangu, basi baada ya harakati mida ya saambili narudi nakuta hela ipo pale pale, nikauliza kwanini, nikaambiwa mtoto,

Basi nikamwambia afanye awezalo mm nile kwani sijala toka asubuhi, nikamwambia anipe mtoto aende dukani Kama hataki Shari na Mimi,

Basi akachukua hela kishingo upande akaenda, muda mfupi akarejea na mfuko mtupu,

Akaniambia duka limefungwa, nikamwambia mbona ya pale mbele yako wazi, akanijibu hawezi kwenda huko mbali, nikainama uvunguni na kutoa fimbo, nikamtishia kuwa ntamchapa akalete unga,

Nilivoona mbishi nikamweka moja ya mgongoni, akanifuata na kutaka kukamata fimbo, nikadhibiti nikawa namchapa mapajani na miguuni, akaivunja fimbo, basi ikabidi mikono ichukue majukumu ya fimbo, kwasababu niliona ni mbishi nikamuweka vibao na kumlaza chini nikaanza kumwasha vibao huku na maonyo juu, ni mbishi hatari,

Uzuri kulikuwa na mvua hivo kelele hazikuwa kitu,

Usioe mwanamke kisa umempa mimba, ndo yaliyonikuta mm kwa kujifanya ni wahuruma.
Ni kweli inaumiza pale mke anaposhindwa kuheshimu na kutambua umuhimu wa kuwa na mume,hukupaswa kumpiga Wala kumtishia ungetumia nafasi Yako kama mwanaume kuzungumza naye kiurafiki kabisa huenda angekupa sababu ya yeye kufanya vile huku ukiendelea kutafakari na kufanya maamuzi yaliyosahihi baada ya kupata majawabu kutoka kwake.
 
Ukiweza kujifanyia yote hayo sasa mke wa kazi gani?

Kinachobakia hapo si kuwa na mkataba na mwanamke ambaye anaishi kwake na wewe unaishi kwako?

Ukichelewa kurudi hakuna wa kukuuliza na ukiamuwa usirudi kabisa Halelujah.




Kweli mkuu , haya mambo yanahitaji hekima ya juu Sana.
 
Huu uzi umenikumbusha mstari wa Mboso ule anaimba "imeniponza huruma Kirungi, Kujitia kumsaidia... Penzi limevuja tenaaa🎶🎶🎶🎶"
 
Pole, tatizo huyo ni mother house na akili yake imemtuma kwa sababu unashinda kwenye mishe mishe basi wewe ni malaya una wanawake wengine na ulimuoa kwa sababu ana mimba na kwa sababu ameshazaa anahisi humpendi tena na una wanawake wengine ukiwatia mimba utawaoa tena. Na inaonekana umepunguza kupiga bao hivyo anahisi una mwanamke mwingine. Ulikosea kumpiga kabisa tena kosa kubwa. Ulipaswa ufanye utafiti umuulize shida angefungukua ila wewe unaonekana huna muda wa kuongea naye ni kuomba tu kupiga bao, kuaga kwenda kazini, amri amri tu yaani humpi muda wa kuongea naye, na yeye anajiona ni haki yake wewe umbembeleze. Ili kurekebisha, hakikisha kwanza usimshirikishe mshauri yeyote, wewe cha kwanza rudi nyumbani mpigie magoti umuombe msamaha kwanza. Then kaa muda msome hasa shida yake atakuambia kila kitu na matatizo yako yataisha. Pia chunguza inawezekana kuna mbea kaleta umbea au inawezekana hata simu yako etc. Wanawake wana akili finyu sana tena sana, anaweza kuwa anakuwazia vitu vya ajabu hata kukua kisa tu labda umerudi hujamuita mpenzi etc. Pole naamini ndoa yako itapona
Bonge la ushauri

Kataa 50/50 andaa kizazi bora
 
Kiufupi ukiwa pong'o usioe Binti mchaga!
Hapo tafuta Hela vyakula vijae nyumbani ukikosa unga waugali Kuna Mchele,ungangano,viazi,ndizi nk.
usisahau frijini vi wine,maziwa,juice nk.
Usipige mwanamke kisa umefeli wewe kumtunza. Tafuta helaaa mwanamke akisumbua unaenda mchepukoni unakula maraha unarudi unacheua masamaki alafu mwepesiii wala huwazi shoo mwenyewe mbona atakaa sawa.
Skuizi hatuwapigi vibao tunawapiga matukio tuu
Wanawake wa kichaga hawafai.
 
Back
Top Bottom