Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

We kijana acha ujinga wa kuharibu kizazi chako pamoja JAMII yetu, JINGA WE!!
Afu inaonekana we na mke wako wote MAKAHABA!!
 
1. Mama mtu mzima
2. Binti
3. Mchumba
4. Kijana mdokozi
5. Wewe mlalaji
6. Mke anayenukia mafuta ya kondom

Na place bet yangu "lazima mmoja afe"
naweka hela yangu, namba 1 na namba 6 hawawezi kufa kamwe, ila wanapossibility za kuua. bet placed
 
Sisi wanawake sio victims. We do not cheat by accident. And we don't stop just because we got caught.

Once we cross that line, there is no stopping.

We get seasoned with each session.

And it gets more exciting. Tf.
Seasoned by each season…🙃😁 mhhhhh🤷🏿‍♂️
 
Wahuni wanakubandulia longtime sema wewe hujui tu.
 
Baadae unawaambia wanao kuwa walipatikana kwasababu ya kumkomesha mama yao mkubwa na mchepuko wake...
 
Sasa hapo umemkomoa nini zaidi ya kujiongezea mizigo ya majukumu?
 
Sisi wanawake sio victims. We do not cheat by accident. And we don't stop just because we got caught.

Once we cross that line, there is no stopping.

We get seasoned with each session.

And it gets more exciting. Tf.
Ndomaana mkitusaliti ni kuwatimua tu hakuna msamaha.
 
Kama nimeelewa vizuri aliyeliwa ni mama na dada na dem wa kijana. Sasa ina muathiri vipi mke wake?
Mwanzo aliyeliwa ni mke wa jamaa, je inamuathiri vipi jamaa?
 
Upumbavu mwingine bana. Unajiongezea shida halafu unasema nimewakomesha. K nani alikudanganya inakomeshwa. Jinga sna
 
Upumbavu mwingine bana. Unajiongezea shida halafu unasema nimewakomesha. K nani alikudanganya inakomeshwa. Jinga sna
Ulitaka nikulawiti wewe? Sutumii mavi pia acha shobo na ujuaji wa kwenye maisha ya mtu.

Sijakuita hapa. Tako la mama yako.
 
Wewe itakuwa yalikukumba si bure
Acha kushobokea maisha ya watu wengine. Msijifanye washauri kwenye maisha ya watu. Sijawaita mnishauri hapa.

Pumbavu.
 
Sikuhukumu, but hiyo comeback yako ni kama umejikomoa tu mzee.
Ulifanya maamuzi muzuri ya kutokugombana au kumdhuru mke na huyo kijana.Hao ni watu wazima, wanajua wanachofanya na hasira zingekuletea hasara.
Sasa huko kuzalisha ovyo ovyo kama kuku, tena unafanya mambo abnormal kabisa kwa kulala na mama na mtoto ujue sio poa..umemfedhehesha huyo mama bila shaka, na hata kusahau kwa uovu.TUEPUKE KUWAPA WATU SABABU NA HAKI YA KUTUCHUKIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…