Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

Salute legend
 
Hii siyo habari ya kweli japo revenge za aina hii hutokea. Kila nikisoma mtiririko wa habari nahisi jamaa katunga. BTW Nimeona watu wanachukuwa marafiki wa wake zao kulipa kisasi kwa wake. Au ndugu wa wake...
Na ukitaka kujua kuwa katunga hiyo sentensi kuwa mkewe alikuwa akinuka harufu ya mafuta ya kondomu,yaani huyo mwanamke ni mjinga kiasi gani,alalwe halafu hata asioge ili kupoteza ushahidi!
 
Sawa!

Huwa hatufanyi hivyo,nguvu uliyoitumia ni kubwa sana!

Ungeoa tu faster,ukamwacha aendelee na huyo kijana wake!ukabaki unahudumia watoto wako halafu yeye ahudumiwe na kijana wake mahitaji binafsi!!

Ulifungwa na dini!!?Dini kitu Gani wewe!!?

Tena ungeoa pisi kuliko yeye!ukamwambia "nimekupa uhuru rasmi uendelee na kijana wako huyo"

Simple!!

Kina mwajuma,Aisha,salma kibao wanataka nusra!

But, Good
 
Maajabu haya.. unajiona mjanja kwa kujiongezea majukumu na matatizo.
Ngoja miaka ispgee kidogo ndo utagundua makosa uliyofanya maana unaweza ukasababisha watoto wasipendane.

Ungeishia kuwala tu bila kuzaa nao ingawa na yenyewe ni upuuzi.
Kunawatu shahawa zao hawana kazi nazo hadi kaja kusimulia tayari ishaanza kumtafuna ngoja miaka isogee ndio atajua kuwa ilikuwa comeback au ameharibu maisha ya kizazi chake
 
Kunawatu shahawa zao hawana kazi nazo hadi kaja kusimulia tayari ishaanza kumtafuna ngoja miaka isogee ndio atajua kuwa ilikuwa comeback au ameharibu maisha ya kizazi chake
Njoo nikumwagie na wewe basi. 😂😂
 
Sema Kwa mwanamke ukidhamiria Kwa pesa lazima utawapata ila najua hujufanya Kwa Ajili ya upendo.

Pili huyo dogo hujamkomoa Bado Kwa sababu Sina hakika kama anajua umelala na mama yake,Hilo la Mchumba sio kesi sana unless alishatoa mahari na kutambulishana.

But kama sio stori ya kutunga hapo safi sana
 
Wewe jamaa ni muungwana sana na umesovu hili tatizo kwa akili kubwa sana,familia ni taasisi ni kama nchi mpumbavu aki mess kwenye taasisi unayoiongoza pita naye bila huruma
Kila mara Mke aligeuza sebule yangu kama kijiwe nongwa cha anaowaita marafiki zake kujaza nyumba eti wanaangalia movie.

Kila nikimwambia aache Hilo eti nataka Wageni wasije home ,nikasema tulia utawatoa mwenyewe.

Nikaanza kuwatongoza anaingia line analiwa atakayeiataa atamsimukia na ndicho kilifanyika.

Nikasema yote ukiyosikia ni kweli si ulitaka wasaidizi,endelea kuwaleta Hadi Leo hii sijawahi waona tena 😂😂😂😂

Hao wanawake tumia akili ndogo tuu na Mimi Huwa Niko wazi uende unakotaka au ubakie na najua hawawezi kwenda ila ukijifanya unawapenda sana itakumala kama kina Nikki.
 
Sisi wanawake sio victims. We do not cheat by accident. And we don't stop just because we got caught.

Once we cross that line, there is no stopping.

We get seasoned with each session.

And it gets more exciting. Tf.
Ndio maana binafsi nikijiridhisha siwezi endelea na Maisha na huyo mwanamke in the name of blaa blaa za Watoto.

Bora niishi mwenyewe Hadi uzeeni watanisaidia watakaopenda na wenye moyo Kwa sababu nitakuwa na hela za kuwalipa
 
Utembee hadi na binti yangu na mama yangu nijue, hapo nakuhakikishia anataka akakutoe roho
 
Mnapataga wap wanawake wa hivi mkuu
 
Sisi wanawake sio victims. We do not cheat by accident. And we don't stop just because we got caught.

Once we cross that line, there is no stopping.

We get seasoned with each session.

And it gets more exciting. Tf.
Hahaha. Except that getting schlonged by multiple men has never worked out well for you. In fact, it has destroyed the lives of many of you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…