Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

Japo hii ni sinema zetu ila nakupongeza mkuu kwa pigo takatifu japo halina maadili na hiyo ni karma ila atleast umetuliza moyo wako.
 
Hii siyo habari ya kweli japo revenge za aina hii hutokea. Kila nikisoma mtiririko wa habari nahisi jamaa katunga. BTW Nimeona watu wanachukuwa marafiki wa wake zao kulipa kisasi kwa wake. Au ndugu wa wake...
Piga panapouma zaidi
 
Alishafanya hayo yote kabla ndio maana akafanya alichofanya
 
Sisi wanawake sio victims. We do not cheat by accident. And we don't stop just because we got caught.

Once we cross that line, there is no stopping.

We get seasoned with each session.

And it gets more exciting. Tf.
Tayari imenasa kwenye mtego ikajielezea kila kitu na huu mtego umeteguka
 
Sisi wanawake sio victims. We do not cheat by accident. And we don't stop just because we got caught.

Once we cross that line, there is no stopping.

We get seasoned with each session.

And it gets more exciting. Tf.
Shadeeya I started to show you my list
 
Usiwapangie watu na familia zao wewe panga familia yako ndio maana kila mtu ana kichwa chake hawezi kutembea na kichwa chako
 
Ndio maana hua nawaambia vijana humu kila siku,
Msaliti hua hasamehewi hata siku moja

Seran Unakumbuka siku ile uliniambia kua msaliti anaweza kubadilika,so asamehewe?
Naunga mkono hoja yako ila sikuungi mkono unapomuuliza mtu mwingine maana yake una akili za kushikiwa be you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…