Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake


Hivi stori za kutunga Tunga kama hizi na za kitoto toto bado zipo???? Au ni lini Shule zinafunguliwa???
 
Kachakaza nyeti zake mwenyewe, kaongeza uzao wake mwenyewe.
Kajiomgezea majukumu yeye mwenyewe kwa hasira zake mwenyewe. Kamkomoa nani? Nani kapata funzo?
WOTE waliohusika na wasiohusika mpaka waliojazwa Mimba na watoto waliozaliwa wamepata FUNZO.
 
That's good! Ukiwa na pesa haina haja yakuua mwanamke au hawala yake, ni umafia tu
 
Umeliona FUNZO alilotoa mpaka kwa kizazi chake na cha kwako kikipita kusoma humu kitajifunza kitu.
Hakuna funzo lolote hapo. Watu wake kwa waume watendelea kuchepuka na kulana kama kawa na hakuna kitu mtawafanya.
 
Nyinyi ndio mnaendaga kutafuta Maghorofa marefu na kujiangusha CHINI kwa ujinga wenu. Utamu unao mwenyewe kwanini uteseke?
Wanawake wote hawa kwanini niteseke na mmoja.. Nyeto tuwaachie watoto mkuu.. Sahz nyeto mtu mzma piga mara moja kwa wiki tu
 
Wewe ni kiazi utakua huna tofauti na aliesema mafuta lita 1 ni 16,000,000
Vipi wewe ndo unakua yule mtoto ambae mjomba ake pia ni baba yake wa kambo, mama yake mzazi pia ni dada ake na ni mdogo wa mjomba ake, na bibi yake pia ni mama yake mkubwa na ni mkwe wa mama ake wa kambo.
 
Nimekumbuka ule wimbo wa MwanaFa..
Ukigongewa na wewe tafuta mnyonge wako mgongee..haipunguzi maumivu ila inaongeza hadhi ya kiume..

Sema mpwa kaenda mbali zaidi katomb.a familia hadi mkamwana😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…