Nilimwalika peke yake kaja na wenzie 4, nimewaagizia Novida

Alvaro kinywaji changu pendwa. Alvaro tamu
Naam...

Mara ya mwanzo kuzijua hizo soda ilikuwa Nairobi, wakati huo bongo havikuwepo, za Kenya wanapack kwenye chupa kama Bavaria...

Na kuna nyingine inaitwa Alvaro ni kama ina ladha sawa na Novida...

 
Maneno ya kujifariji eti ujenge njiani πŸ˜‚πŸ˜‚ Mungu alivyo na rehema atakupa miaka 100 ili uendelee kukaa hapo njianiπŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣 Aha upo mrembo. Vipi cpa ilishapatikana au bado kuna somo wamekukamata?
Mungu hampi mwanadamu miaka ya kuishi bali mungu umpa mwanadamu muongozo wa kuweza kuishi miaka mingi. Sasa ni wewe kufuata huo muongozo au lah. Mie naona kabisa huo muongozo nilishafeli maana hapa nilipo nahesabu miaka tuu nisepe zangu six feet under.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…