Nilimwambia mshikaji wangu asitembee na viatu ndani lakini jamaa kasusa na kukasirika

Kwa ufupi sipendi mtu ambae yupo rafu asiejali kukeep mazingira ya usafi.

2020 life lilikaza kinoma kuna mwanangu mmoja akawa anakuja mageton tunakula, nmetoka kidogo nikamuacha geto kama 3 hrs hivi, narudi nakutana na taulo langu limeanikwa nje.

Naingia tu ndani mwamba ananiambia ameamua aoge, nilichoka nikamwambia ndio hadi kushea taulo? Dah alafu mshkaji ukimuona ni very smart na degree yake ila hajui kipi cha kushea/kutokushea. Aliomba samahani nikamuelekeza kishkaji ila ile taulo sikuitumia tena.
 
Hivyo ndivyo anavyoishi kwake.
Hao ndio aina ya wanaume ambao, unakuta mvua imenyesha then anaingia ndani na buti zenye matope wakati mwanamke ameshadeki.
Mwambie aache ushamba kususa ni nyumbani kwake.
 
Wait.....kwahiyo hicho chakula chake kipo au???
 
Jau sana unapo fika kwa mtu tulia unataka kitu muombe mimi nimemchana na sio kwamba hajui ana jua maana sio mgeni anakuja sana na kila siku na mwambia
 
Alikupa trela tu.Ulitakiwa umkute na demu wake anamuonesha masufuria ya plastiki.
 
Hua unatokana wapi na watu wa ajabu ajabu..?
 
Acha tabia za namna hiyo sisi ni mavumbi na tutarudi mavumbini,tabia ya usafi ni ya kike mwanaume hata leo nikinunua nguo ya milioni nikiambiwa shimo hili lina dhahabu hata kama sijui ni ya kiasi gani sivui nguo nazama nayo hivyo hivyo ,iweje malumalu ndani ya chumba ambayo unakanyaga na kufuta ,kijana umemzingua mwana kaongee nae kishikaji maisha yasonge.
 
Hivyo ndivyo anavyoishi kwake.
Hao ndio aina ya wanaume ambao, unakuta mvua imenyesha then anaingia ndani na buti zenye matope wakati mwanamke ameshadeki.
Mwambie aache ushamba kususa ni nyumbani kwake.
Watu wa bara hawaambiwi hivyo.Angemvutia muda na si kumshambulia ghafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…