Nilimwambia mshikaji wangu asitembee na viatu ndani lakini jamaa kasusa na kukasirika

Hivyo ndivyo anavyoishi kwake.
Hao ndio aina ya wanaume ambao, unakuta mvua imenyesha then anaingia ndani na buti zenye matope wakati mwanamke ameshadeki.
Mwambie aache ushamba kususa ni nyumbani kwake.
Et ana ingia na buti mna kwazikaga sana ?
 
Awe wewe nitambebembeleza mwanamke ila sio mshikaji
 
Technic uliotumia ili rafiki yako asile Chakula chako imefanikiwa mana umemsemanga karibu na maudhulio ya kula na outcome yake ulikuwa unaijua.
Hapana af mm nimemwambia tu sipendi mtu atambee na viatu ndani mbona anakulaga sana mda mwingine mpaka namuita asipike kwake
 
Ahahaahaha hilo tailaaaa ungelipga na kofiii c lijenge yakeee shenzi kabsaaa
 
Lazima kalikuwa katoto kadar es salaam hako ? Maana tutoto twa huko hatujuagi hygiene kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…