secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hahaha ππ€£ππ π€£.Mtu unaweza ukakaa zako vizuri oabisa ukawaza chakumshauti mleta uzi alafu kumbe mwenzetu anaongelea ndani na viatu tofauti kabisa.
Anyway shikilia msimamo tu, nasikia utelezi ukapunguza risk za ngoma, kipengele ni mimba na UTI tu
Nilitaka ku comment umesababisha nisiteMtu unaweza ukakaa zako vizuri oabisa ukawaza chakumshauti mleta uzi alafu kumbe mwenzetu anaongelea ndani na viatu tofauti kabisa.
Anyway shikilia msimamo tu, nasikia utelezi ukapunguza risk za ngoma, kipengele ni mimba na UTI tu
kumbe mleta mada ni mwanajeshi....?Mike punguza kukaa na raia ,wengi hawajastaarabika
Sio kweli ni mpishi katika mgahawa mmojawapo wa KFC ,tulikuwa naye JKT kipindi hiko ,hivyo mimi na yeye hupenda kutaniana kwa kuitana mikekumbe mleta mada ni mwanajeshi....?
I'm
Inakera sanaIpo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu azunguke ndani na viatu af vichafu kakasirika kaondoka zake kasusa na chakula hapo ninakosa?
Sipemdi mtu ana fungua mlango ana acha wazi
Sipendi mtu anatembea na viatu ndani
Sipendi mtu asie tulia sehemu moja
Kosa ni lako umemualika mtu ambaye haendani na mipango yako.Ipo hivi nilimuita mshikaji tupige story moja mbili sasa tulianza usafi hapa na pale baada ya kumaliza nikaanza kuandaa chakula namuona jamaa ana zunguka ndani na viatu nikamchana sipendi mtu azunguke ndani na viatu af vichafu kakasirika kaondoka zake kasusa na chakula hapo ninakosa?
Sipemdi mtu ana fungua mlango ana acha wazi
Sipendi mtu anatembea na viatu ndani
Sipendi mtu asie tulia sehemu moja
πππ aka anza kukuweka kwenye mstarUsinkumbushe machungu, kuna jamaa yangu tulipotezana miaka mingi sana hivi karibuni tukaonana akantembelea.
Huwwzi amini asee, jamaa kumbe CCM.
Sio kweliWanaume hukutana baa sio nyumbani
Usikalilikumbe mleta mada ni mwanajeshi....?
I'm
SawaHu
Inakera sana
Akili yako wewe ππUnaacha kuita wadada unaita vidume vyenzio na kuvipikia unavipikia..!!
Nyege zikiwashika ghafla mnafanyaje humo ghetto?? πΉ
Kuna namna ya maongezi yake huenda ni mjeda, ama ni hawa Rangers (Tanapa na the like) maana kuna picha alipiga akionesha mazingira ya pori za wanyama...Sio kweli ni mpishi katika mgahawa mmojawapo wa KFC ,tulikuwa naye JKT kipindi hiko ,hivyo mimi na yeye hupenda kutaniana kwa kuitana mike
UMEELEWA ?
Mnaelewa vibaya wakat namuita mm nilikuwa nafanya usafi af vitu vidogoYaani umemuita mwana ghetto mfanye fanye usafi