Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!! Pole sana ila ndiyo ukubwa huo. Changamoto tueumbiwa siye, kama umesha mjua kaa maye mbali move on....au jamaa tayari amesha kudatisha huwezi muacha ?!Mi sikujua hata nnao, ila wakawa active baada ya kuona nafanyiwa uchawi, nimelala na adui, nimempa papuchi adui, maisha magumu sana
Asana mshirikina mwenzangu!Jamani, kichwa cha Habari kinajieleza.
Mimi nilikuwa na mwanaume nimemzidi miaka 10, mwanzoni hata haikuwa serious maana tuko tofauti,
ila mi ni wale wanawake ambao nikiwa na mwanaume basi bahati hazimkauki (nna walinzi)
Baada tu ya miezi 3 nikapata kazi na kijana akapata kazi ya pili tena yenye kipato, sikushangaa najijua, ila sasa akabadilika, tukikutana haogi anaenda hivyo hivyo kwenye mizunguko.
Mara nikilala kwake nanyolewa nywele na yeye anakuwa wa Kwanza kuona nimenyolewa. Sasa juzi nimeacha kazi na yeye akaacha siku hiyo hiyo.
Naona hayo yote ila bado niko nae tu. Sasa saivi nikiwa nae naumwa Homa ya ajabu, (walinzi hawamtaki, wamemchoka anavyoninyanyasa)
Yani mpaka walinzi wameingilia Kati, hali ilikuwa mbaya ndugu zangu.
Kuweni makini kwenye mahusiano, kuweni makini.
Mizimu ya kwenu(malaika)Hawa walinzi wako ni wa aina gani na mimi nina tamani sana kuwa na walinzi ili niweze jua nani ana nifaa kwenye mahusiano. I wish kwa kweli
Naam mkongweAsana mshirikina mwenzangu!
Mkuuu. Ghorofa yako ulimaliza?Asana mshirikina mwenzangu!
Siku nyingi sana na majini tayari yanaishi ndaniMkuuu. Ghorofa yako ulimaliza?
Mbona tunaolewa mkuuToka ewe mchawi na majini yako, tuachie JF yetu, ndo maana wadada wa humu ndani hawaolewi, vijana hawataki kuoa.
🤣🤣🤣Siku nyingi sana na majini tayari yanaishi ndani
Zama pm tuyajenge upate mume kipenzi.Mbona tunaolewa mkuu