Superjet ndenji
Member
- Sep 22, 2019
- 94
- 127
Ndio hivyo usimuache mke wa ujanani kwako.
Karibu kama una swali nitakujibu
Karibu kama una swali nitakujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe e unadhani majimama yanakuwaga na umri ganiMkeo alikuwa na umr gani?
Hawa ni wale mtoto akiumwa mama analia na baba analia hawajui wafanyejeHujawahi lia na mkeo wakati hela ya kula imeisha
46Kwani wewe e unadhani majimama yanakuwaga na umri gani
Kiukweli nimejitaid nastahili pongeziKwa hiyo unaona mmedumu sanaa?
Mkeo alikuwa na umri gani kipinfi unaoa.kiukweli nimejitaid nastahili pongezi
miaka 17 kasoro miez tumepishaMkeo alikuwa na umr gani?
hapana sio mwanafunz ila sote tulikuwa wanafunziKwa umri huo kama hujaoa mwanafunzi basi utakuwa umeoa single mama hapa ina bidi serikali ifuatilie
aiseeeKwani wewe e unadhani majimama yanakuwaga na umri gani
tulipambana ila uzur pesa haikuwa tatizoHujawahi lia na mkeo wakati hela ya kula imeisha
jombaa haya maneno yakoHawa ni wale mtoto akiumwa mama analia na baba analia hawajui wafanyeje
Upambane sasa zisiishetulipambana ila uzur pesa haikuwa tatizo
mpaka kufikia hapa nime type wee kila nikipost inajifuta nikasema ngoja nijaribu mara ya mwisho ndio nakuta hivyo ila mada ilikuwapo ndefu tu na naimani mngejifunza mengi kupitia hayo maelezoMada yenyewe iko wapi kwani??