Nilioa nikiwa na miaka 17 hadi leo ndoa yetu ina miaka 5

Kwani wewe e unadhani majimama yanakuwaga na umri gani
Hivi inaruhusiwa kuoa ukiwa chini ya umri wa miaka 18? je na huyo jimama umiyemuoa alikuwa na umri gani? na SHERIA inasemaje kwa mwanamke mkubwa kuolewa na kitoto kidogo? je ulioa ukiwa bado bikira?
 
mpaka kufikia hapa nime type wee kila nikipost inajifuta nikasema ngoja nijaribu mara ya mwisho ndio nakuta hivyo ila mada ilikuwapo ndefu tu na naimani mngejifunza mengi kupitia hayo maelezo
Hongera

Ila maisha matamu ndo kwanza yanaanza hapo ngoja umalize hio ngwe ya 22yrs mpaka 25 halaf utoke hapo 25yrs mpka30 ndo utajua ndoa kwanin iliitwa ndoano na inavua samaki gani
 
Kwahy mnao watoto wangap hadi sasa? Maana kwa umr huo ngono ndo ulikuwa msingi wa ndoa yenu
mpaka sasa nina watoto nae wawili ktk hao wawl huyu mmoja nilimkutia anamiez mitatu na sababu ya kuamua kuoa mapema hivyo ni huruma maana hakuwa na msaada wowote na isitoshe hakuwa na wazazi alie mzalisha alimkimbia akiwa kidato cha pili nikaona isiwe kesi ngoja nibebe jukumu
 
Mbona kama story ni ndefu tiririka yote itapendeza
 
mpaka sasa nina watoto nae wawili ktk hao wawl huyu mmoja nilimkutia anamiez mitatu na sababu ya kuamua kuoa mapema hivyo ni huruma maana hakuwa na msaada wowote na isitoshe hakuwa na wazazi alie mzalisha alimkimbia akiwa kidato cha pili nikaona isiwe kesi ngoja nibebe jukumu
Awww! Hongera sana, one in a millions tena Bongo!!!

Pongezi nyingi nawaombea mzidi kudumu msisikilize ya waliokata tamaa za maisha, wao minds zao zipo negative tu wanatamani kila mtu awe na maisha magumu kama wao.
[emoji171][emoji170][emoji172][emoji169][emoji3448][emoji173]
 
Waweza amini miaka 5 yote mimi hutumia kuchunguza kama tunaendana ama la?
 
mpaka sasa nina watoto nae wawili ktk hao wawl huyu mmoja nilimkutia anamiez mitatu na sababu ya kuamua kuoa mapema hivyo ni huruma maana hakuwa na msaada wowote na isitoshe hakuwa na wazazi alie mzalisha alimkimbia akiwa kidato cha pili nikaona isiwe kesi ngoja nibebe jukumu
Hongera sana. Hakika ni maamuzi magumu sana. Naombea huyo jamaa aliyemzalisha mtoto wa kwanza asirudi tena katika maisha ya mkeo.
 
mpaka sasa nina watoto nae wawili ktk hao wawl huyu mmoja nilimkutia anamiez mitatu na sababu ya kuamua kuoa mapema hivyo ni huruma maana hakuwa na msaada wowote na isitoshe hakuwa na wazazi alie mzalisha alimkimbia akiwa kidato cha pili nikaona isiwe kesi ngoja nibebe jukumu
Mkuu iandike kwa urefu hii mada, haujaitendea haki
 
mpaka sasa nina watoto nae wawili ktk hao wawl huyu mmoja nilimkutia anamiez mitatu na sababu ya kuamua kuoa mapema hivyo ni huruma maana hakuwa na msaada wowote na isitoshe hakuwa na wazazi alie mzalisha alimkimbia akiwa kidato cha pili nikaona isiwe kesi ngoja nibebe jukumu

Mkuu una story ndefu sana na yenye kufunza ebu iandike kwa urefu zaidi.
 
Kikubwa upendo. Nilikanywa nisioe mwanamke kwa kumuonea huruma. Lakini sheria zina matobo.

Kisa chako kimenikumbusha story moja ya jamaa mmoja.

Yeye alikuwa ni miongoni mwa wanafunzi bora darasani kuanzia o level hadi form six. Wiki kadhaa kabla ya mtihani wa mwisho wa form six jamaa akarogwa. Akawa chizi wa kufunga kamba. Akapelekwa kwa mganga akatibiwa mpaka akapona baada ya siku nyingi sana. Alivyopona kabisaa akafikiri ni jinsi gani ya kumshukuru mganga akaona amuoe binti mdogo wa mganga kama shukrani wakahamia dar leo ni miaka mingi yupo na mkewe na maisha yanaenda.
 
Hongera saana.ni jambo zuri kuoa.
Mimi kaka yako nina miaka 30 hata dalili ya kuoa sina.nina mahawara tu kila siku vilio vya kutaka niwaoe haviishi ila kila nikiwaza kifungo cha ndoa naishiwa nguvu za kuoa.
Ila nitaoa
Hahahahaa
 
Hongera

Ila maisha matamu ndo kwanza yanaanza hapo ngoja umalize hio ngwe ya 22yrs mpaka 25 halaf utoke hapo 25yrs mpka30 ndo utajua ndoa kwanin iliitwa ndoano na inavua samaki gani
kwanza nimshukuru mungu hatuna makuu japo kuwa mpaka kufikia hapa nimepita nae mitihan ming ila nimepambana labda itokee tatizo nje ya mfumo wa akili yangu kuhusu pesa kiukwel mungu ni mwema nipo vzr maana nimejenga tunaishi kwetu pia nina viduka viwil vitatu tunasonga changamoto zipo ila hazitafanya nilud nyuma
 
Back
Top Bottom