Nilioa nikiwa na miaka 17 hadi leo ndoa yetu ina miaka 5

Nilioa nikiwa na miaka 17 hadi leo ndoa yetu ina miaka 5

Woii,Hiyo ni ndoa au mlikuwa mnacheza kimama mama?mtaachana tu😎
 
Mungu anijaalie.......miongoni mwa ndoto na malengo yangu ya maisha ni kuoa na kuwa na familia yangu.
Pasipokujali Hali nitakazopitia
 
Mungu anijaalie.......miongoni mwa ndoto na malengo yangu ya maisha ni kuoa na kuwa na familia yangu.
Pasipokujali Hali nitakazopitia
mkuu hata mimi ningeogopa maneno na hali nilizopitia singeingia kwenye uhusiano ila muangalie huyo utakae mchukua je mtaendana bas mengine bwebwe
 
Dogo hongera sana. Pambana na life ulee familia yako vizuri. Hakuna kitu kisicho na changamoto katika maisha. Cha muhimu ni kupambana na hizo changamoto hadi kieleweke. Usikatishwe tamaa na maneno ya wana JF. Big up!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mpaka sasa nina watoto nae wawili ktk hao wawl huyu mmoja nilimkutia anamiez mitatu na sababu ya kuamua kuoa mapema hivyo ni huruma maana hakuwa na msaada wowote na isitoshe hakuwa na wazazi alie mzalisha alimkimbia akiwa kidato cha pili nikaona isiwe kesi ngoja nibebe jukumu
Nilitaka kukuzingua lakini baada ya kufika hapa, nimeonelea nikaushe manake inawezekana ikawa unasema ukweli (my problem mimi ni mgumu sana kuamini amini kirahisi). Na kama ni kweli, basi we jamaa utakuwa na upako manake at 17 uanze kula vitu used just for her sake! Lazima utakuwa uncle ake na Jesus; hebu muulize vizuri mshua!
 
Ko kipind umemuoa muda uleee,,mlikua mnakaa kwa wazaz ama??
Alafu ulimuoaje oaje yaan,,,au ndo hukutegemea kwenye show wazungu waliwahi tunda yakaja matokeo ahaahha!!
 
Back
Top Bottom