Nilioa nikiwa na miaka 17 hadi leo ndoa yetu ina miaka 5

Umepata mafanikio gani mkiwa ndani ya ndoa
ndio nimefanikiwa kipind naishi na mke halikuwa suala gumu sababu nilichokiangalia kipi kinaweza nigharimu nikakuta posho kwakuwa tayali nilikuwa napenda kufuga mbuz tokea nikiwa darasa la sita mpaka kufikia umri wa kumpata yeye nilikuwa na mbuz 22 nikawauza kumi nikiwa kidato cha nne nikaanza kujihusisha na kilimo nakumbuka nilianza na mahind heka moja na ufuta heka 3 mungu alinijaalia kwenye ufuta nilipata kama milion 4 hivi ndizo zilizonipa pakuanzia kiukwel mwanamke alinipa nguvu ya kupambana nazan bila yy mpaka sasa ningekuwa nasaka ajila
 
Jitahidi usije kuchepuka
 
sawa mkuu ila kunaitajika moyo wa jiwe nakumbuka aliniambia siwez kukuzuia coz bado ukijana na haujafaidi ujana fanya ila jitaid nisijue maana nitaumia na ninaposafiri hunipa box la condom kiujumla anajitambua na natunza heshima yake
Hahaha shemeji yetu nimemkubali aisee. Endelea kutunza heshima yake saana
 
sawa mkuu ila kunaitajika moyo wa jiwe nakumbuka aliniambia siwez kukuzuia coz bado ukijana na haujafaidi ujana fanya ila jitaid nisijue maana nitaumia na ninaposafiri hunipa box la condom kiujumla anajitambua na natunza heshima yake
Aisee huyu ni mke muelewa sana.....napenda watu wanao jua ukweli na kuufata
 
Kwa hiyo unaona mmedumu sanaa?
Haa😁😂
Eti Naye Baadaye Anataka Aombwe Ushauri Kuhusu Unyumba Wakati Hana Ajualo!!
Ccm Imeleta Shida Hapa Tanzania, Watu Wanaaminishwa Ni Matajiri Wakati Milo Mitatu Kuipata Tabu
 
Mi sio mganga ila kama mnaishi Dar wote mkitoboa 24 yrs bado mko pamoja na huyo binti nitaamini kweli ulipata mke😂
 
Nilitaka kukuzingua lakini baada ya kufika hapa, nimeonelea nikaushe manake inawezekana ikawa unasema ukweli (my problem mimi ni mgumu sana kuamini amini kirahisi). Na kama ni kweli, basi we jamaa utakuwa na upako manake at 17 uanze kula vitu used just for her sake! Lazima utakuwa uncle ake na Jesus; hebu muulize vizuri mshua!
Mkuu, mi mwenyewe nilioa kisha nikaacha lakini sa hv ukiniletea habari za kuoa nitakwambia niletee mwanamke mwenye Bikra zote,
Nahisi huyu dogo ni Anko ake Yesu
 
sawa mkuu ila kunaitajika moyo wa jiwe nakumbuka aliniambia siwez kukuzuia coz bado ukijana na haujafaidi ujana fanya ila jitaid nisijue maana nitaumia na ninaposafiri hunipa box la condom kiujumla anajitambua na natunza heshima yake
Dogo, huyo ni mmoja wa wanawake waliopo kwenye uwiano wa 1:10 , anajitambua na anajua maisha yanavyoenda

Nilitaka kukuzingua sema mimi huwa sipendi kukurupuka imebidi nipitie comment zako nimegundua kwamba kuna vitu vingi vya kujifunza sema ndo hukuvielezea vyote

Mimi Binafsi....narudia tena....MIMI BINAFSI, Niliwahi kuoa na nikaachana na mwanamke akiwa tayari ana watoto wangu wawili na sa hivi kaolewa tena, ila mimi ukija kuniletea habari za kuoa, nitakupa jibu rahisi tu, "NITAFUTIE MWANAMKE MWENYE BIKRA ZOTE NA NIZITHIBITISHE MWENYEWE KAMA NI OG KISHA NDO NIMUOE"
 
Back
Top Bottom